Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo.. Au mume ya mutu?
========
Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe.
Flavy na...
Naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani...
Wadauz;
Leo hebu tuwajadili wanawake waliofanikiwa kwa kila proffesional anayoifanya wa Kitanzania kuanzia biashara, kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, makampuni, sanaa na...
Anaitwa Addo November ..soma hapa chini
Hivi maisha gani sijayaishi? Najua kuwa na Pesa najua Kufulia katika Mambo Yote nimegundua Bila Mungu basi hatima yako iko mashakani. Kipindi hicho...
Ndoa ya Billionea namba moja duniani mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya mauzo mtandaoni ya Amazon Jeff Benzos na mkewe MacKenzie Bezos imeingia mchanga baada ya wanandoa hao kuamua kila mmoja...
Kwa muda mrefu rapper wa kike aliyewahi kutikisa nchini Tanzania, Rah P amekuwa kimya na kuendelea na maisha yake nchini Marekani.
Lakini wengi hawajui tabu na shida alizozipata baada ya kwenda...
Namuona Piere akiwa kwenye VX akila zake kiyoyozi huku amekunja nne akila keki ya taifa.
Namuona Piere akizunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, tarafa kwa tarafa, kata kwa kata na mgombea...
Kwa hali ambayo imedhihirika imepangwa ili kumchafua Pierre Liquid, watu wameanza kujitokeza kueleza kuwa wamezaa na Pierre. Tukumbuke mambo kama haya yalitokea nyakati za nyuma kuwachafua watu...
Ermias Davidson Asghedom kijana wa miaka (Agusti 15, 1985 – Mach 31, 2019), akijulikana kwa jina la sanaa kama Nipsey Hussle. Ni msanii wa sanaa ya muziki wa kufoka foka (Hip Hop) kutoka Calfonia...
Nilikuwa siziamini baadhi ya Kauli hasa hii isemayo ' Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea Mwendo wake ' ila kwa kadri ambavyo naanza Kumuona Pierre Konki Liquid tokea adhihakiwe na adharauliwe na '...
Naombeni kuuliza mzee huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia mnada wa nyumba za lugumi.
Yuko wapi huyu mzee,je zile fedha zake na mambo yake yaliendeleaje?
Yuko ndani ya nchi hii kweli...
Huyu mtangazaji Bhoke wa kipindi cha Dadaz EATV(Channel 5) kiukweli anakera kwa tabia yake ya kutuonesha kitovu pamoja na sehemu ya chini ya tumbo hususani katika zile "jingles"/promo ambazo huwa...
Khalid The great kampaisha Konki Liquid. Ina maanisha nguvu ya mitandao ni kubwa ila kiukweli tumuonee huruma tu konki sababu mtu mwenye roho mbaya mwenye back up ya mtu mkubwa kamchukia...
Rapper wa Kike kutoka Tanzania yupo nchini Kenya katika ziara ya kutangaza kazi zake huko, Katika Harakati hizi nimekutana na Show moja kali aliyoifanya live katika Kipindi cha 10 over 10 Cha...