Jacqueline obed ‘Poshy Queen’
ANAPATA tabu sana!
Mrembo anayetingisha kwenye mitandao ya kijamii (socialite) kutokana na figa yake matata, Jacqueline obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa...
SHEM DARLING JACKIE NA BRO'ANGU REGGIE WAMEMPOTEZA DANGOTE
BASI bwana! Kwenye public domain kwa miaka kadhaa sasa, mtoto wa mama Nasibu, Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ndie alikuwa mtawala...
Siyo kwamba anakosekana mwanamke wa kuigiza kama mwanamke..... TABIA YA JOTI KUVAA UHALISIA WA MWANAMKE UNASABABISHA WATOTO WA KIUME KUJIFUNZA UPUUZI.....
Naandika ujumbe huu KWA MAKONDA AMBAYE...
Miongoni mwa wasanii wenye msongo mkubwa mno wa mawazo basi Richard Mavoko anaongoza.
Rich amekuwa mtu mwenye kusononeka kila kukicha na kujiona mkosaji mno ingawa akiwa katika macho ya mashabiki...
Pole sana mzee wa liquid, wewe hauna madhara kwa mtu yoyote yule. Kila mtu anajua hauna shida na mtu maskini all you do is to make us laugh kumbe UMAARUFU wako kuna WARUGARUGA UNAWAUMA SANA haswa...
Habarini za wakati huu wadau wa jukwaa hili,natumaini mko salama na wale ambao hamko vyema poleni sana..Naam acha niende moja kwa moja kwenye content,,Kwa waskilizaji wa Clouds FM the people's...
Hii game ya Bongo fleva imetoka mbali sana, tunakumbuka kuna mikoa imewahi kutisha sana kwa kutoa wasanii wengi tena wakihit kwa wakati mmoja.
Ifuatayo ni mikoa hiyo UKITOA DAR ES SALAAM.
1...
Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu.
Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia...
Kwa Watanzania wenzangu,
Kwanza, nikiri kwamba nimeona wengi niliowakwaza kutokana na maneno niliyoongea jana kwenye tukio liliondaliwa na rafiki yetu @jokatemwegelo (#TokomezaZiroKisarawe). Kwa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godfrey Willium Ngelela a.k.a Dudubaya amepost video akiwaomba radhi watanzania wote, baraza la sanaa Tanzania (BASATA) pamoja na familia ya Ruge...
Huyu bibie Mboni nasikia alishawahi toka na Samuel Etoo wakati Cameroon walipokuja kucheza na Taifa stars...Ana kila sababu ya kushangilia ushindi wa Inter
Ni msiba kwa wana hiphop wa kweli hasa kwa wale tunaopenda real stuff. Jamaa ali rep sana mtaa though hakupata airtime kivile.
R.I.P Legend Nipsey Hu$$le
Habari kamili hapo chini, source CNN...
Natoa angalizo tu asaiv ukihitaj Kiki kipind hiki lazima uongee na pierre mlamba alolo konki liquid mama nakufa itabaki kuwa juu. ..Ati nin
bila hivo utasubiri sana mana ndo aliyeshika hili jiji...