Waymaker” By Sinach Crosses 100 Million Views On Youtube! .
Nigerian Gospel music icon, Sinach has crossed the 100 Million views mark on Youtube for the song “Waymaker”; a feat only 2 other...
Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni...
Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi...
Good day Fareed Kubanda!
Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu...
Miaka ya nyuma kidogo huyu Amber Lulu alikuwa changudoa mchafu mchafu anadanga hapo ambiance ,miguu haieleweki imekomaa komaa ,sura nzito kama futari ya magimbi, tumbo kubwa,maziwa yametepeta kama...
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned
So Kama unampenda warumi na mko...
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu
Akipiku record...
Sifahamu nianzie wapi na habari hii. Tulipokuwa wadogo jirani yetu alikuwa mama mrembo tukizoea kumwita auntie. Auntie alikuwa mzaliwa wa mikoa yenye wanawake warembo. Auntie aliumbika, alikuwa...
Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele...
Salute..
Aisee naandika haya toka moyoni kabisa ndaaani kulee. Nampenda sana Lucky Dube nyimbo na mfumo wa maisha yake. Nimekua nasikiliza nyimbo,interview na shoo zake zinanivutia sana.
Katika...
Mtangazaji maarufu Ephraim Kibonde amefiwa na mkewe usiku huu katika hospitali ya Hindu Mandal. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Amen.
======
Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi...
Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine
Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba...
Salaam Wakuu.
Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio...
Kwako mr Kibonde,
Siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa Lady Jaydee, yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo na kifikra hata kimaongezi. Lakini yule...
Na Kalunde Jamal
Onyesho la mwanamuziki Judith Wambura Mbibo, maarufu Lady Jaydee, la kutimiza miaka 13 ndani ya tasnia ya muziki limekuwa la kipekee baada ya kuibuka Pedezyee aliyekuwa akimtunza...
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha...
Watanzania wana tabia ya kujikweza, hii tabia imesambaa zaid kwa wasanii,
Leo hii kwa magari ya kuazima na project za watu kupitia migongo yao wanahadaa watu kwamba ni matajiri, wanafika hatua ya...