Movement ya Anti-Virus ilianzishwa kimya kimya na Mapacha Wa Maujanja Saplayaz baada ya kulalamikia unyonyaji uliopitiliza katika kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam. Wakiwa wawili tu...
Yule mwanamziki nguli wa Hip Hop wa miaka ile mwenye jina hapo juu ameondokewa na baba yake profesa rubanza siku ya juzi na amezikwa jana. Mungu ametoa na kwake amerudi jina lake lihimidiwe
Kevin Hart reaches out to Nigerian boy who did a drawing of him
Kevin Hart has reached out to a talented Nigerian boy who did a beautiful drawing of him.
The boy shared the drawing on Twitter...
Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro.
Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili...
Aliekuwa mpiga picha mkuu wa Diamond kwa zaidi ya miaka 5 na baadae kutangaza kuacha kazi kwa staa huyo mkubwa wa Bongo Fleva (wengi wanadai alifukuzwa kwa kumshauri boss wake kuhusu zari)Hatimae...
LONDON, England: MR EMBO Sarah Kohan ambaye ni mpenzi wa straika wa West Ham, Javier Hernandez ‘Chicharito’, amepiga picha akiwa uchi huku akiinadi mimba yake mpya.
Sarah ameshaeleza mara...
Megan young kutoka ufilipino ndio mshindi mpya wa miss world 2013.watanzania ata 20 bora atupo .Bado Kazi ipo sana kwa Tanzania kuchagua miss bora atakaotuwakilisha vyema kwenye mashindano aya...
Niaje wadau?
Sijui nimuweke kundi gani huyu mdau Mr Ruge Mutahaba maana anajua kuisaka hela si mchezo na mwenzake Kusaga.
Kwa show moja tu ya fiesta Dar anatengeneza millioni zaidi ya mia 4...
Kipindi ndio nimeanza sekondari, boarding mbali huko, tulikuwa tunaanika betri kwenye jua ili jioni tusikose kumsikiliza mshkaji na wakali wengine kwenye African beatz, Kiss Fm. Huyu Jamaa alikuwa...
Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hii katika mtandao wa bbm, lady jay dee ameandika status 'Mungu sio Ruge wala Kusaga. No surrender. Confidence' inaonekana bifu lao linazidi kuchukua nafasi. Na binti machozi anaonekana...
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? basi balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta sijui eneo gani Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio...
Salamu mbele!
Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya chini chini na ya wazi kwa muda mrefu ya jinsi clouds media ambavyo wamekuwa wakiwanyonya na kuwaburuza wasanii wa muziki nchini Tanzania.
Wengi...
Ruge Mutahaba ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Clouds Media Group. Leo ameongea kwenye kipindi cha Radio Clouds cha XXL.
Tujuzane kinachoendelea hapo mjengoni. Sijui anataka kukamatia fursa ya nani...