Kwanza nianze na waratibu
Fella Muslim
Sallam Muslim
Tale Muslim
Madjs
Romy Jones Muslim
Djommy muslim
Tuje kwa wanamuziki sasa
Diamond Muslim
Harmonize muslim
Mbosso muslim
Lava lava...
Ukiangalia kwenye mambo mengi jamaa huwa hawaambatani naye,halafu ukitazama kwa wasanii wote wa lebel ya WCB wako approved na instagram kuwa zile ni real accont zao ila sembuse yeye shida nn? Kama...
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki...
Unaaambiwa swala hili lilowakera wanamuziki wakristo waliokuwa kwenye tamasha pamoja na uongozi wa juu wa basata na wizara kwa ujumla
Wanasema kila show kabla ya kuanza lazima shehe asome dua huku...
Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu.
Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018...
Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’
SITAKI!
Mlimbwende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo, Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ ambaye hivi karibuni alitengeneza vichwa vya habari mitandaoni baada ya...
Salute,
Binafsi sipendezwi sana na umbeya ambao huwa wanafanya Soudy na Kwisa lakini kwa bahati mbaya wifi yenu anakipenda sana hivyo kuna wakati najikuta naangalia kilazima.
Nimekuwa na hamu...
YOUTUBE ni mtandao wa kijamii wa kuweka na kutazama video za vitu mbalimbali zikiwemo za matukio ya kila aina bila kusahau muziki kutoka kona mbalimbali za sayari hii ya dunia yenye zaidi ya watu...
WASIFU WAKE.
Huyu ndio Maryem Sarah Uzerli almaarufu Hurrem Sultan wa tamthilia ya Sultan (muhteşem yüzyıl) inayoonyweshwa katika king'amuzi cha azam tv kupitia chaneli ya Azam Two.
Meryem ni...
Kijana Whozu naona kajigiftisha gari aina ya Mark X baada ya kumaliza show za msimu wa Tigo Fista. Kijana kafurahi sana kama inavyokuwa ukimiliki gari kwa mara ya kwanza hata usingizi hupati na...
Mwanzo alikuwa rafiki sana na Jose Mtambo akamtosa akidai ni mlevi kumbe kisa ni show alikuwa anapokea pesa akiahidi kwenda naye ila wapi.
Akafuata Kala Jeremiah huyu mpaka harusi yake alikuwa...
Kabla ya yote napenda kuweka wazi kwamba makala hii nimeiandika kutoka vyanzo mbalimbali vya mtandaoni, ikiwemo youtube, bbc documentaries, crime and investigation channel na baadhi ya tovuti...
Wakuu,
Nataka kutoa wimbo mwanzoni mwa mwaka, nilikuwa nahitaji ushauri wenu. Ni msanii gani mnadhani anaweza kutengeneza chorous nzuri sana kati ya Jux na Ben Paul.
Nilifikiria awe Jux ila...
Hii ni tafsiri ya waganga maarufu,na inadaiwa hirizi zake zilipasuka au kupotea
Mpaka atokee mtaalam wa kumfufua kwa kuwa kishirikina bado kazikwa japo anajiona mzima
Inaanzia hapa Matukio yaliyopelekea kuaawa kwa marapa wakubwa Tupac na Biggie. (Pata kujua mhusika wa halisi wa mauaji hayo)
Kutokana na kuwa Tupac alikuwa kakosa ela ya kulipia dhamana ili atoke...
Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani...
Wakuu,
Kipindi hatujalipwa malipo yetu baada ya kufanya show za Fiesta nilikuja hapa JF kulalamika hivyo baada ya kulipwa naamini ni vema nikaja hapa hapa JF kuufahamisha umma ili isije kuonekana...
Wakati naanza muziki kipindi sifahamiki, nilikutana na wasanii wanafiki wenye roho mbaya japo wana act marafiki.
Mungu ni mwema nilikuja kuonana na Mwana fa ambaye niliunganishwa na mmoja wa kaka...