Dimpoz anasumbuliwa na koo ambapo katikati ya mwaka huu 2018 alifanyiwa operation katika moja ya hospitali kubwa nchini Afrika ya Kusini,licha ya kuonekana kuimarika kwa afya yake miezi kadhaa...
Wahenga wanasema ukiona unapendwa ringa.... Diamond platnumz na crew yake nzima ya Wasafi wana show desemba hii huko kenya.... Mapokezi yake yamekuwa ni balaa... naamini basata wakiona hivi...
Kusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti...
Mange Kimambi ameumbuka vibaya sana alitaka kumchafua Oil Chafu Konki Konki Konki Master ila lengo lake limebuma.
Ametumia nguvu kubwa sana lakini mwisho wa siku ameumbuka wazi wazi kwa aibu...
Baada ya kile kinachooneka kuwa ni kuimarisha ulinzi na kutuma salaam kwa watekaji, MO amenunua gari inayoaminika kuwa na mfumo mkubwa wa ulinzi wa kidigjtari.
Muda mfupi baada ya MO kuposti...
Sitaki Kusema kuwa Sanaa imeingiliwa na wahuni, Inawezekana kuwa walikuwa wahuni kabla hata ya kuanza sanaa Sema hatukutupia jicho kabla lakini pia usisahau kuwa huu Muziki wa hawa vijana uliitwa...
Habari wakuu!!
Lile sakata la Diamond Platinumz na Rayvanny na Tamasha lao lilofungiwa hatimaye BASATA wamewaruhusu nchini Kenya na Comoro.
Ambapo rufaa yao itajadiliwa February mwakani 2019...
Habari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist.
Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani...
yeahhh babaaa!!!
Ipo kama ifuatavyo leo nimekutana na gari ya matangazo wakitangaza show ya msanii meseni selekta itakayofanyika mpemba-Tunduma cha ajabu na kusikitisha meseni alikuwa anafuata...
popcaan dun rich ft davido mp3 download, wakati tunaposherekea sikukuu ya krismasi, wasanii wawili wamesherekea pamoja wakatengeneza wimbo mtamu kwa jina dun Rich , davido akishirikiana na...
Nikimuona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma naiona Sura ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kila nikimuona Rais Kenyatta hasa Sura yake namwona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Juma...
Habari za chini chini zinatanabaisha kuwa king kiba yupo kwny michakato ya kanzisha media yake, ambapo ataanza na radio kwanza then ndo TV itafaata.
Namtakia kila la kheri kwenye hili swala hii...
Yani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB.
Kiukweli tangu fiesta ianzishwe mpaka leo hakuna show mbovu kama show ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani...
Licha ya watu wachache waliokuwepo kushuhudia show ya alikiba kutokana na show kufayika usiku sana kuna mashabiki walikuwa wanaicheki show kwa simu zao na kuonyesha hisia zao baada ya millard ayo...
Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.
Mara kadhaa...
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl...
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.
Adhabu...