Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Franco ‘orphans' struggle to keep his torch burning By AMOS NGAIRA The story of Congolese music star Franco, whose 20th death anniversary is being marked from this weekend, is...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa. Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imehudhuriwa na watu wachache sana na...
5 Reactions
79 Replies
10K Views
Wasalaam... Huyu dogo aiseee hizi nyimbo zake daaah sijui kamusi ya mahaba anatolea wapi. Ukisikiliza vizuri mashairi ya nyimbo zake lazima uso wako ujae tabasamu lisilo na unafiki ndani ya...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa. Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi...
3 Reactions
40 Replies
10K Views
Kiukweli nimekuwa mfatiliaji wa haya matamasha lakini tuacheni ushabiki wasafi festival ndio tamasha bora kwa mwaka huu hii ni kutokana na A list ya wasanii wanaofanya vizuri mwaka huu kiribia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
sio kama wao ni bora kuzidi wengine hapana,bali ni nidhamu,unyenyekevu na utii wao katika kazi jambo hili ndilo linawafanya CMG wavutiwe sana na vijana hawa kutoka Arusha,wasanii wengine mna cha...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa Diamond wakati anaongea na vyombo vya habari nchini Kenya amesema BASATA wamewaruhusu kuendelea na show kwa masharti. Diamond amesema mara baada ya kupigwa pini ambapo ilikua ni...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Mmakonde yuko on fire, ni msanii no 1 kwa sasa hapa Bongo. Angalia nyimbo zake 2 alizotoa mwakahuu 'Kwangwaru' na 'DM Chick', halafu rudi kwenye Collabo ile aliyofanya na Krizbeats '911' na ile...
13 Reactions
80 Replies
12K Views
Nachukua nafasi hii kumpa heko new mastermind wa Clouds ndg Sebastian Maganga kwa kuweza kufanikisha show ya Fiesta. Juzi niliandika uzi wa kuonyesha wasiwasi wangu kuhusu show kutopata...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Juzi juzi BASATA ilitangaza kumfungia Msanii Diamond Platinumz na mwenzake kwa muda usiojulikana kutokana na kukiukaa sheria kwa kuimba wimbo wenye matusi wimbo uliopigwa marufuku. Kufungo hicho...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Hatimaye wimbo wa alikiba unaotamba kwa jina "Kadogo" wazidi kunawiri viewers wakijotekeza kwa wingi kuutazama kwenye youtube. Alikiba awmbayacawali alilalamika kuwa Soma zaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa kuwa kaonyesha ukaidi dhidi ya serikali(BASATA) basi iandikwe barua kwenda uhamiaji kuzuia ziara zake zote za kimuziki duniani,paspoti ipigwe pini
2 Reactions
62 Replies
8K Views
By Sangu Joseph . Kiukweli nimepata nafasi ya kuusikiliza na kuutazama kiundani wimbo wa @officialAlikiba wa #Kadogo tuache tu utani na ushabiki wimbo ni mzuri ni moja ya nyimbo ambazo zimenivutia...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Huyu bwana kila akipata wasaa wa kuhojiwa ...utasikia visingizio vingiiiiiio Sasa hivi anadai kuna msanii kampigia producer ampe material zake za mziki.... Adui wa maisha yako ni we mwenyewe...
11 Reactions
21 Replies
5K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekutana na mlimbwende wa nchi hiyo ambaye hivi majuzi ameshinda taji la mlimbwende bora wa Afrika. Quiin Abenakyo alitawazwa kuwa Miss Uganda mwezi Agosti na...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ile SHOW yenye historia na kubwa kuliko, leo inafunga msimu wake huu wa mwaka 2018 na MOJA KUBWA AKA Grand Finale! Kwa sababu Hawa MAWINGU Siku zote huwa hawabahatishi kwenye mambo Yao especially...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii Ni Kufuru... Six Pack Ni Pesa Na Sio Gym
3 Reactions
48 Replies
10K Views
HAPPY BIRTHDAY BEN SAANANE,. Ni mwaka mmoja na siku kadhaa tangia Ben Saanane atoweke/atoweshwe katika mazingira tatanishi. Leo Ben, anamitiza miaka kadhaa tangia kuzaliwa kwake. Happy beloved...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…