Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kuna taarifa za kupotea kwa motto mwengine anasoma shule ya Roman Catholic pale Mabibo maarufu farasi, Matukio haya yanaongezeka lakini hadi sasa hakuna kauli yeyote ya serikali kuhusu kadhia hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anatangaza huku anatabasamu na sometime anacheka cheka Anatangaza huku kila mara akiwa anachezea chezea Kalamu yake Anatangaza huku kila mara akiwa ' anachomekea ' maneno yasiyoendana na Habari...
11 Reactions
102 Replies
18K Views
Wanamuziki Billnas na mwenzake Barnaba wameiponda miguu ya dogojanja na kudai kwamba jamaa ana miguu membamba kama chelewa. Billnas alienda mbali zaidi kwa kudai kwamba jamaa ashukuru Mungu mtoto...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za...
11 Reactions
36 Replies
6K Views
Nionavyo Mimi Hii ishu Ya ushoga ni mtego ambao umetegwa kwa walengwa hapo Juu. Ma Master mind wanajua hakika kuwa Wananchi wa kawaida ambao ni wengi hawapo tayari kuona Suala la Ushoga lina...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Harmonize ameachia hit song amefanya vizuri kwambali inaonekana ile chemistry yakuapamoja na international Artist hapa nikimaanisha Jah Prezah..Huyu jamaa alifanya Collabo na Mondi-Watora Mari...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza kabisa niwapongeze wasafi kwa hatua waliyoipiga kwani sio jambo dogo kwa hatua waliyofikia Wasafi FM ni radio ambayo inapatikana kwa mkoa dar es salaam tu hii ni kutokana na sheria...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Madam original Irene Pancras Uwoya huu mwaka wake kwa kweli maana duh anavimba sana mpaka wasanii wenzake wanatamani hata kumloga ili kumshusha chini na chanzo cha yote haya ni baada ya Irene...
2 Reactions
51 Replies
14K Views
Huu wimbo nimeuangalia mara mbili mbili ameutendea haki na sauti ameitoa kama inavyotakiwa kama ingekua ni American Got Talent basi ningembonyezea GOLDEN BUZZER. Appreciate you Kijana
4 Reactions
23 Replies
8K Views
binafsi nimekuwa nikipata tabu sana kumuweka 1 juu ya mwenzake ben pol anajua kunyonga chorus hali kadharika belle 9 na nyimbo zao sasa embu nisaidieni hapo nani yuko juu zaidi ya mwenzake
0 Reactions
18 Replies
6K Views
SERIKALI wilayani Muheza imetoa muda wa saa 24 vinginevyo italazimika kutumia nguvu ya dola kuwasaka na kuwafikisha mahakamani wananchi wote wa Kijiji cha Songa Kibao Maguzoni waliohusika na wizi...
1 Reactions
52 Replies
9K Views
Early this week Nilipata mshituko mkubwa kuona taarifa E-Newz ya muigizaji wa kichina Jet li anavyoteseja na ugonjwa kwa miaka 10. Tumfahamu jet li ni nani? Anaitwa Li Lianjie kazaliwa 26/4/1963...
8 Reactions
98 Replies
24K Views
Kufuatia huyu Kaka'etu aliyepata heshima kubwa sana kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini kupitia IPP Media, Ambaye pia ni mwalimu wa fani hiyo Chuo Kikuu cha Tumaini kampasi...
0 Reactions
46 Replies
16K Views
Natumaini mko vyema, kuna jambo linajitokeza sana kuhusu wasanii wamikoani sana sana hawa chipukizi kiukweli fikra zao zimetawaliwa nanini au sijui ndio menejimenti za muziki zimewasahau hawa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake...
11 Reactions
307 Replies
29K Views
Madam original Irene Uwoya milango ya neema inazidi kumfungukia kila kukicha. Club ya Irene Uwoya ambayo itafunguliwa rasmi mwaka huu december 25 itakuwa ni Club kali kuliko night club yoyote ile...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Mwanamuziki na Muandaaji wa muziki nchini Marekani, Pharrell Williams amemlima barua Rais wa Taifa hilo, Donald Trump inayomtaka asitumie tena wimbo wake wa ‘HAPPY’ kwenye shughuli zake za...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakati Bodi ya Filamu ikiwa imemfungia mwigizaji na mfanyabiashara Wema Sepetu kwa mda usiojulikana kujihusisha na masuala ya filamu, huku Chama cha Waigizaji Wilaya ya Kinondoni (TDFAA)...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
kwa watoto waliozaliwa miaka ya hivi karibuni sio rahisi kumfahamu,labda wam-google. huyu ni moja ya mwana-RnB aliyetamba sana katikati na mwishoni mwa miaka ya "tisaini"(nimeitamka kihenga)...
23 Reactions
71 Replies
14K Views
. The model nailed the Queen's look with her curly white hair and colourful coat, complete with her iconic b-heeled court shoes and the patent black handbag she is always seen carrying...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…