angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatari
Winnie Harllow(24) na Wiz Khalifa(31) waangukia katika penzi zito || . Rapper huyo amesema supermodel huyo si tu kuwa ni mrembo bali ni mtu mwenye kujielewa pia.
Amberose ambaye alikuwa mke wa...
Ila Haka katoto kanakuja kwa kasi aiseh, juzi tu kahongwa volkswagen kwenye birthday yake , Leo tena kahongwa BMW , naona wambea tumechonga sio yake kaamua kutuumbua na kadi ya gari, mmh mwaka...
Msanii Young Dar es salaam mbali na kipaji kikubwa cha muziki alichonacho lakini suala la kutokujielewa ni kizuizi kikubwa cha maendeleo yake.
Wajanja wengi wanatumia mgongo wa young D kupiga...
Mmh mbona balaa tena mujini, Ila wema mchafu, sasa dogo janja jamani c mume wa uwoya , na uwoya alikua kwenye birthday yake mlimani , kumbe bibie anamendea pipi ya dogo janja... mmh mi mwenzenu...
Nominees and Winners
Winners are in bold text.
Best Male Singer
Banana Zorro
Ali Kiba
Christian Bella
Marlow
Mzee Yusuph
Best Female Singer
Lady Jaydee
Khadija Yusuph
Maunda Zoro
Mwasiti...
Habarini Wadau,
Mbona waigizaji wa Mizengwe ni wazuri sana na wana vipaji ila hawapewi recognition sana kama comedians wengine?
Japo kipindi chao cha jumapili kinachorushwa na ITV ni kifupi ila...
Watu wengi wanaongea sana kuhusu wasanii ni Malaya mfano daimond ,wema n.k.
Tambua wale ni manistaa wanajulikana so kila mwanaume/mwanamke watakao kuwa nae lazima ijulikane.
Amini nakuambia huyo...
Huyu dada aliyekuwa akipigwa mkonga kwenye jumba la Big Brother yuko wapi? Akiwa kwenye jumba hilo alikuwa na kisirani kama ana mimba, anaye jua aliko aseme
Wasanii wakibongo wengi wamekuwa mstari wa mbele sana kulilia haki zao kuwa wanaibiwa (kweli wanaibiwa sana),lakini hivi nyinyi wenyewe hamuoni mnavyowaibia na kuwadhulumu maproducer.Ukienda mbele...
Irene Pancras Uwoya kiukweli ni mzuri na mastaa wengi wa kike na wakiumw huwa wanampa sifa yake ya uzuri ila tuseme ukweli kabisa bila kung'ata maneno ,Tunda ni mzuri mara kumi ya huyo Uwoya sema...
Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa...
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kwa kweli japokua muziki umejaa vichaa mimi sijawahi kuona mwanamziki wa muziki wowote ule anamtukana MUNGU waziwazi hata kimya kimya mimi sijui.
Ni jambo gumu sana...
Sasa Mama tawile umetoka kwa diamond unaenda kwa billnass? Au ndo stress zinakusumbua? , na Nandy si ni shoga yako jaman ? Yani mastaa wa bongo kwa kushea ndo wanaona fashion , Ila shoga yangu...
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.
Uchunguzi uanze upya