Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba...
27 Reactions
162 Replies
28K Views
C.E.O wazamani wa death row records Gangstar wa Compton member of blood . Waste side the best .atupwa sero miaka 28
2 Reactions
70 Replies
12K Views
. Jamani hapa ndo alipofikia msanii ney wa mitego yaani nimeingia YouTube nimekutana na show take nikashangaa yaan ni msanii ambaye anajishusha thamani tofauti na ney yule wa Nnakula ujana,Mziki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar...
7 Reactions
77 Replies
27K Views
Wasalaam wana jamvi Pamoja kuwa tumezawadiwa wasanii wengi sana wa muziki wa kizazi kipya nchini lakini ni wachache sana ambao kila mtu angependa kuwasikiliza au kuwasubiria watafanya nini wakiwa...
6 Reactions
74 Replies
10K Views
Moja kati ya stori zilizosambaa katika mitandao ya kijamii leo kuhusiana na muigizaji Irene Uwoya ni stori ya kudaiwa kuwa alikamatwa na Polisi jijini Mbeya na kulazwa katika kituo cha Polisi...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Sijui inakuaje wasanii wetu wakisha jiingiza tu kwenye ndoa muziki inawatupa mkono kabisa,cheki list hapa chini,hao niliowawekea nyota ndo wanaishia ishia hivyo kwa mbaali japokuwa wanajitahidi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameamua kuweka wazi mwanaume ambaye anataka kuishi naye kwa sasa, ambapo amedai kuwa anataka mwanaume wa kizungu ambaye alishawahi kuachika na mwenye watoto...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamaa pamoja na crew yake enzi za gazeti la sani walikuwa wanachora real life na kwa viwango...yaani unafuatilia vile vibonzo na unafurahika kabisa, huku Madenge akiwa ndo stelingi kwenye hii...
15 Reactions
35 Replies
10K Views
Goo morning wana Jf! Watanzania huwa tunatabia ya kuwaongezea ugonjwa wagonjwa..Yaani mtu anaweza akawa anaugua kabisa na dalili zote tunaziona lakini ndio kwanza tunaendelea kumgeuza kiburudisho...
5 Reactions
74 Replies
12K Views
Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume...
6 Reactions
198 Replies
22K Views
Huyu kijana idris Sultan amekuwa akisifika kukejeli mastaa kibao hapa bongo, Sasa najiuliza hivi siku huyu idris akiingia 18 za Mujuni almaarufu mpoki kweli atatoka salama Huyu Dogo? Ikumbukwe...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Gwiji wa muziki wa reggae nchini Jah Kimbuteh amefariki dunia nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam, mshirika wa karibu wa marehemu David Msitta Manju, amethibitisha. Akiongea nasi kwa njia...
13 Reactions
61 Replies
12K Views
Mtangazaji mpya wa WasafiTv anaeitwa Jonijoo, anaenda kuishangaza dunia. Ulimwengu unaenda kuona kipaji cha hali ya juu. Swagga, technics, big brain na ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa Jonijoo...
4 Reactions
43 Replies
10K Views
Mama mzazi wa msanii wa Bongo Movies Muna Love, Ritha Moyo amempeleka Polisi mwanaye huyo kwa makosa ya mtandaoni ya kumkana kuwa amefariki, kumtukana na kumkana mjukuu wake aliyeko Moshi mkoani...
5 Reactions
75 Replies
10K Views
Faraja Nyalandu Founder & Executive Director | Shule Direct | Driving Social Change through Innovative Learning Programmes By Faraja Kotta Nyalandu – A Woman I was not always a top performer in...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
1. Turn back the hands of time - Rkelly. 2. So into - fabulous ft tamia 3. Open road - Chrisbrown 4. I need a girl part 2 - Diddy 5. Just a baby boy - Snoop ft tyrese 6. Thong thong - sisqo 7...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwanza kabisa nampongeza ommy Dimpoz kwa kusherekea siku yake ya kuzaliwa. pili naungana naye katika kutoa shukrani kwa Mungu baada ya kutengemaa kwa afya yake. katika ukurasa wake wa instagram...
11 Reactions
37 Replies
6K Views
SIRI imefichuka kuwa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alfonce Nungu almaarufu Muna Love ambaye hivi karibuni alifiwa na mwanaye, Patrick Peter, inasemekana ana mtoto mwingine kinyume na kauli...
7 Reactions
61 Replies
12K Views
Yule Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa Dansi aliyewahi kutamba na bendi za Twanga pepeta na Extra Bongo amelazwa kwenye hospitali ya Bugando , na imeelezwa kwamba hali yake hairidhishi. Chanzo...
1 Reactions
223 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…