Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na...
36 Reactions
378 Replies
31K Views
Mshindi namba moja wa ulimbwende mkoa wa Kinondoni, Queen Elizabeth amejinyakulia na kutawazwa mshindi wa Miss Tanzania mwaka 2018 baada ya kuwashinda washiriki wengine 19. Mshindi huyo...
1 Reactions
145 Replies
35K Views
Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Emmanuel Mbasha ameamua kuwatolea uvivu Shilole akimtaka aache kupenda vya dezo apambane na hali yake. Wiki mbili zilizopita Shilole alikaririwa na...
10 Reactions
46 Replies
8K Views
Mchekeshaji Emmanuel Mathias aka MC Pilipili ametangaza tayari amempata mwenza wake katika mahusiano na hivi karibuni wataingia kwenye maisha ya ndoa. MC huyo maarufu kwa sasa siku ya jana...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia. Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala. Je hapigi show vijijini? Je huko analala...
4 Reactions
50 Replies
16K Views
Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!! Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss...
6 Reactions
75 Replies
9K Views
Kwa wale wapenz wa kufatilia new rap generation kwa wenzetu mbele nani mkali hapo?
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna wakati unakuwa so hot, lakini ni ngumu kubaki hot muda wote....kutoka ladie's man mpaka kuwa 'mounted by a ghost'.
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Baada ya mabinti hawa kupoteza wenza wao mmoja akimpoteza mmewe wa kwanza baada ya kufariki na mwingine ambaye ni trace chocolate kuachika kutoka kwa mpenzi wake msanii Aslay Hivi sasa hawa...
2 Reactions
78 Replies
15K Views
Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako Alipohojiwa na Times Fm Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?! We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa! Video hapa chini...
2 Reactions
129 Replies
30K Views
Baada ya joh kusikia Fid q anaachia album yake ya kitaaolojia kesho Joh ameamua kuachia ngoma yake mpya inaitwa simwachii mungu halaf atatoa ngoma kila jtatu mpka tarehe 27.
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Ikiwa wimbo wa Seduce me ulioimbwa na msanii Alikiba umetimiza mwaka mmoja leo toka uachiwe leo ni vyema tukachambua maudhui ya wimbo huu. MAPENZI Mapenzi ndiyo dhamira kuu ya wimbo wa seduce...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwema wakuu Katika pitapita IG nimekutana na post ya bodyguard wa msanii Diamond akiendelea na majukumu yake mengine(kapata boss mpya) Najua hapa Jf kuna wajuzi,nipeni ronja nini kimemsibu huyu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya leo clouds FM kwenye show yao ya xxl walikuwa na mahojiano na Dogo Janja na katika mahojiano waligusia ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya katika madai yao watangazaji Adam Mchomvu na Dozen...
5 Reactions
37 Replies
8K Views
Msanii wa kizazi kipya, Vanessa mdee amekamatwa na polisi leo mchana, hata hivyo sababu ya kukamatwa kwake bado haijajulikana. ===== MSANII VANESSA MDEE AKAMATWA NA POLISI JIJINI DAR Jeshi la...
7 Reactions
107 Replies
23K Views
Kila nikijaribu inaniletea majibu ukurasa haupatikani, vp kapigwa pini nini? au ni kwangu tu
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Mpaka sasa nimeshakula block za watu maarufu wafuatao: Malisa Godilisten Huyu ni Kamanda wa CHADEMA ameniblock Facebook toka msiba wa komba. Kipindi hicho cha msiba nilipishana naye pale...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…