Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama inavyoonekana hapa Diamond akuamini na anaonekana kutetemeka kama mtoto mdogo aliyelezimishwa kuoga maji ya baridi saa kumi na moja alfariji na viboko juu.
3 Reactions
72 Replies
13K Views
Habarini wanaJf hivi mmeisikia ile scene ya anti. Ezekiel na Nape mi nimesikia tusi tu likimtoka Ant mwenye full details atujuze basii
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Wadau. Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja. Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea...
19 Reactions
126 Replies
15K Views
Jionee wenyewe mambo yamenogaa[emoji115] [emoji115] [emoji115] Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
459 Replies
71K Views
Taaluma ya uandishi wa habari imesababisha nipende kusoma majarida mbalimbali, magazeti, magazeti tando(blog) na habari katika mitandao ili mradi kutaka kufahamu mambo yanayoendelea ndani na nje...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam wakuu, Direct to the point.huyu dogo muimba kaswida WA wcb sijawahi kumkubali kabisa since day one ila kwa hii ngoma yake, nimeshawishika kidogo kuanza kumsikiliza...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kulikoni Mavoko kufuta picha na kubakiza mbili tu katika instagram yake!? Nini tatizo kwani!?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Msanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000 alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu...
10 Reactions
142 Replies
20K Views
Siku zote katika maisha ili ufanikiwe inapaswa uwe na moyo mkunjufu ,moyo uliojaa shukurani bila kusahau kufanya kazi kwa bidii na kuwaheshimu wale wote wanaokusaidia ili uweze kutimiza ndoto...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa. Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo...
37 Reactions
95 Replies
13K Views
Loh.. tucho kipaji cha kusahau watu... hadi huyu dada yetu tumemtupia kampuni... Whos next. ?.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
46 Replies
5K Views
ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Mama wa Tupac amefariki usiku wa jumatatu kuamkia jumanne. Taarifa zinaeleza amekufa kwa matatizo ya moyo. ================ SAUSALITO, CA (KTVI)- The mother of legendary rapper Tupac Shakur has...
0 Reactions
69 Replies
16K Views
Yani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana...
1 Reactions
273 Replies
26K Views
Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa. Akiongea na Millard Ayo akiwa...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga. Clouds...
24 Reactions
178 Replies
25K Views
Msanii Miriam Jolwa (Jini Kabula) ameonesha kukasirika sana kutokana na vifo mfululizo vya wasanii .Kabula hakusita kuvihusisha vifo hivyo na imani za kishirikina huku akitoa maneno makali kwa...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya Diamond Platnumz licha ya kusainiwa WCB. Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama...
2 Reactions
59 Replies
14K Views
Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume. Katika pitapita zangu...
8 Reactions
111 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…