Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa katika mastaa wa muziki Alikiba ndiye msanii ambaye anatamani kudate naye.
Diva ambaye kwa sasa...
Wana jF...
Yule binti ambaye mahari yake hadi sasa ni Tsh Million 200 za kitanzania na ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto kuliko wote hapa Tanzania leo amefanyiwa suprise ya nguvu na aliyekuwa...
Mtangazaji maarufu wa kituo cha Clouds FM, Diva The Bawse amedai kuwa baada ya kumwagana na aliyekuwa Boyfriend wake Heri Muziki amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume hadi inakuwa kero...
Mwanadada mwenye mvuto wa kuweza kumshawishi mtu kulipa mahari ya Tsh miln 500, na anayeongoza Tanzania nzima kwa sauti nzuri ya utangazaji redioni. Leo akihojiwa na mbea sugu Sudy Brown kwenye...
Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine.
Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama...
BY Na Dk Levy
IN SUMMARY
Njia za Jide anapita Diamond leo, ingawa kapiga hatua nyingi zaidi ya dada yake.
Advertisements
Stara Thomas ni kama kaondoka, yeye yupo. Unique Sisters walitoweka...
Mara baada ya tajiri Aliko Dangote kutangaza kuwa umefika muda wa yeye kupata mpenzi hatimaye awe mke wake wa ndoa , wadada na mastaa wengi wa kike hapa nchini na duniani kwa ujumla wamejikuta...
Naelewa uwepo wa ndugu zetu ambao hamtaelewa (Mtatoka Weupe) katika mada hii. Niwaambie tu ya kwamba, Legezeni vichwa.
Kuhusu topic..
Ni perfomance zipi unazielewa zaidi na ungependa wahusika...
Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia...
Muigizaji wa Bongo movie Monalisa usiku wa leo atafurahia siku yake ya kuzaliwa ndani ya Club Legends karibia na best bites ilipokuwa nyumbani lounge.
Kutakuwa na burudani ya B band ya Banana...
Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa...
Diamond ndio
1. Msanii pekee ambaye nyimbo zake hazipigwi kwenye media na bado anakimbiza tofauti na ilivyokuwa kwa Sugu, Dudu baya pamoja na Z anto.
2. Ni msanii mwenye mashabiki wengi Afrika...
Mods msifute huu uzi kuna cha kujifunza hapa.
Kuna kale kamsemo kanasema ukiwazoea sana watoto wa kike bila kuwa.kaza kuna siku watakushika wo.wo.wo..
Hii imejidhihirisha kwa mwandada Amberlulu...
Tuzo za afrima nchini nigeria imetoa list ya wasani watakaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali katika mashindano hayo.
Huku wasanii kutoka katika lebel ya WCB wakiongoza katika vipengele...
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Naomba msaada wa kumpata kiurahis zaid mheshimiwa mbunge wa viti maalum kupitia ccm vick kamata kama kuna mtu anapajua kwake au nyumban kwake naomba anambia...