Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kiukweli huyu kaka anayejulikana kama Hamisi Mmandi aka B 12 ni moja kati ya presenters wanaokobalika sana ktk industries ya bongo flavour na toka tumeanza kumsikiliza ni mda mrefu sana amekuwa...
1 Reactions
64 Replies
14K Views
Kumekua na tetesi nyingi sana toka msanii Rich Mavoko ajiondoe WCB. Wengi wamemsakama Diamond kwamba alikua anamnyonya sana Mavoko,na wengine wakimuona Mavoko kakengeuka bila kusahau tetesi za...
3 Reactions
40 Replies
15K Views
Taifa lipo msibani! Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea! Nimetazama nyakati za mwisho wakati...
14 Reactions
190 Replies
29K Views
Lesego Motsepe aliekuwa mwigizaji katika tamthiliya ya Isidingo amefariki ghafla leo saa tano asubuhi nyumbani kwao huko Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 40.Lesego aliyekuwa anaigiza kama...
0 Reactions
86 Replies
22K Views
Wana Jf wasalaam... Mmoja wa wasanii wetu bora kabisa wa hip hop amerudi tena kwenye masikio yetu... Moja ya kipaji alichapewa fid q ni uwezo wa kucheza na maneno na kilo wimbo wake ukiusikiliza...
6 Reactions
38 Replies
13K Views
Ni Young Dar es salama,Kama ni kweli basi Hongera sana dogo....but kama ni wimbo basi tunausubiri...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye...
5 Reactions
74 Replies
13K Views
Ni hatua kubwa sana kwake,mara baada ya tetesi nyingi za kufukuzwa WCB. Bora kaamua kujiajiri,na umaarufu wake utamsaidia kujitangaza sana. Hongera bro.
24 Reactions
105 Replies
16K Views
HUYU DADA ALIJISHUSHA SANA KUTOKA NA DIAMOND
3 Reactions
74 Replies
8K Views
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra. Mavoko hajaishia hapo tu ...
5 Reactions
82 Replies
16K Views
Mwigizaji mama la mama kwenye kiwanda cha kuzalisha Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya ametoa la moyoni kwamba, bado hajaona mtu kama marehemu Steven Kanumba kwenye tasnia hiyo. Uwoya ambaye ni...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nipo katika likizo ya kiajira, hivo basi nimeona nitumie likizo yangu kuchangamsha ubongo kwa hoja nyepesi nyepesi. Nipo hapa maskani kwangu nikitazama wasafi tv wakati huo huo nikitembelea...
3 Reactions
117 Replies
18K Views
Radio Tanzania RTD mama wa tbc ndio redio kongwe nchini. Imechangia sana maendeleo ya nchi yetu tangu Uhuru. Huwezi kuzungumzia historia ya Tanzania bila kutaja mchango wa RTD. Radio hii imesaidia...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakili mtoto wa Karume azusha tafrani kortini Tanzania Daima,22.11.07 na Happiness Katabazi na Nuru Yanga WAKILI wa Kujitegemea, Fatma Karume, jana alitoa maneno makali dhidi ya Hakimu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
WAZIRI wa Habari, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Msanii toka WCB WASAFI, almaalufu Mbosso Khan anaongoza kwa wimbo wake mpya kununuliwa nchini Kenya. Wadau tumpe pongezi nyingi.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mavoko,Tin White na Dokii nasikia ni ndugu wa damu baba mmoja mama mmoja. Kama ni kweli basi kuna familia zimebarikiwa vipaji.
7 Reactions
63 Replies
34K Views
By Nasra Abdallah, Mwananchi. nabdallah@mwananchi.co.tz Msanii Rich Mavoko amefikisha malalamiko yake serikalini kwa kutoridhishwa na mkataba aliopewa na uongozi wake wa WCB. Hayo yamesemwa na...
0 Reactions
71 Replies
13K Views
Wabongo nimeamini tunapenda umbeya majungu na kufatilia ya watu Tunapenda kudeal na yaso msingi Issue ya sister fey na kibenten chake personal life yake watu wananunulia bandoo Nimeamini watz...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…