Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari za week end wadau, Kwa wale mashabiki wa mziki wa dance nchini,hasa bend za Fm Acadamia,Twanga pepeta,Malaika Bend,Acudo impact,Mashujaa band,Msondo Ngoma,Sikinde n.k mtakua mashahidi...
5 Reactions
161 Replies
33K Views
Pengine nilikua najidanganya, mara zote ninapoangalia picha ya msanii mmoja kati ya hawa wawili, nilijisemea moyoni kwamba kuna kitu wanafanana, sio kwa rangi kiasi lakini kipo wanachoshare kama...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani. Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu na wadau wa jamvi hili habari! Nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti tu,hivi ni nini kinaendelea pale wcb kuhusu rich mavoko na mpango wake wa kazi...maana wenzake wamekuwa wakiachia ngoma...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora...
13 Reactions
318 Replies
49K Views
Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa...
22 Reactions
45 Replies
8K Views
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona...
12 Reactions
107 Replies
15K Views
This was my results... At 47th page...lakini hiyo kitu inayozungumzwa at that page is just recent...'IYENA'.... 47 - 1 = !?? The answer would mean how Di is into you compared to other...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wengi hamjui wawili hawa walikuwa na ukaribu wa wastani na kuheshimiana ,By then Diamond alikuwa anamtreat kam bro na mkongwe wa kumuonesha njia ukitizama picha zao utagundua kuna viashiria vya...
8 Reactions
36 Replies
11K Views
Umewahi sikia kisa fulani cha 50 Cents kufungiwa kurecord nyimbo yoyote New york City?. Hebu chukulia mfano leo Ney wa mitego ajilipue atunge nyimbo awaimbe wauza madawa wote bongo halafu na wao...
28 Reactions
205 Replies
30K Views
Kufuatia mkutano alioufanya muigizaji Muna Love na waandishi wa habari hapo jana na katika maelezo yake akaanika sauti ya muigizaji mwenziye Steve Nyerere ambayo alimpigia simu muda mfupi baada ya...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Ijumaa, Julai 20, 2018 inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu na wenzake wawili. Mrembo...
0 Reactions
119 Replies
22K Views
Waziri mpya na machachari wa mambo ya ndani wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kangi Lugola ametoa maoni yake kuhusiana na wasanii wanaofanya vizuri nchini Diamond na Alikiba. Katika...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
1.Ali Kiba 2.diamond 3.Harmonize 4.jux 5.Aslay 6.Baraka Da Prince 7.Rayvanny 7 .richMavoko 8. Ben Pol 9. Nandy. 10. Barnaba
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Hawa wasanii was bongo flava sina Imani kwa sababu naheshimu kazi zao ila inabidi waelekezwa kuhusu jinsi ya kuhimudi uimbaji wao. Nuh Mziwanda, Shilole, Giggy Money na Young D
1 Reactions
17 Replies
2K Views
mkali kutoka tamaduni music wa kuitwa p the mc AKA P mawenge juzi kati kaachia ngoma yake mpya inaitwa NOMA MWANANGU kwangu ni bonge la nyimbo japokua idea yake aloitumia inafanana na ile...
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Nimeiona instagram, Diamond ametoa offer ya watoto 10 wakiambatana na wazazi wao kwenda kujumuika na Latifa katika sherehe yake ya kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa. Ninahisi mmoja wa watoto...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi @II Proud Mr II Sugu, akihojiwa na Gazeti la Mwananchi jana ofisini kwao, alikiri wazi kuwa, yeye hana uwezo wa kuandika neno "Zinjanthropus"...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
imeanza kufuatilia stori za hawa watu hasa kipindi kile cha msiba namna zilivyo trend kwenye mitandao ya kijamii. Lakini leo nimeshtushwa baada ya kusikia yule mama wa marehemu ameitisha press...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii nyimbo mpya ya gigi inayoitwa Kiki ni gigi gigi kanikomesha ukchukia unajipa tabu angalia video utaona Cardi b hamuwezi Gigi nimeamka kukera watu leo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…