Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

So the talk in the hip-hop community right now is Drake taking an L from Pusha T. I heard they are even playing the ‘story of Adidon’ in Toronto! That’s gotta hurt, man. Pusha T done bodied...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Msanii wa bongo fleva maarufu nchini , Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza amefunguka na kuzungumzia swala lake la kuachana na Zari na kumuomba radhi mwanamama huyo ambapo taarifa za hapo awali...
2 Reactions
53 Replies
11K Views
Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
4 Reactions
150 Replies
21K Views
Ila Bujibuji huyu kakako anapenda drama jaman Leo anawaambia akina Kiba na Mondi kuwa waache Uzinzi, Sio wanazaa zaa tu ovyo na wanawake Alafu anasema anampenda sana yule dada Aliyeimba wimbo...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz amepanga kuanzisha tamasha lake litaloitwa Wasafi Festival ambalo inatarajiwa litakuwa tamasha pinzani na lile la fiesta linaloendeshwaga na Clouds media...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Msanii mkongwe wa taaarabu nchini Khadija Kopa amefunguka na kuzungumzia hali ya taarabu ilivyo sasa nchini na kusema kuwa wasanii wengi wamekuwa jeuri na kwamba hawajitunzi kama zamani hivyo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki. Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Harmo juzi juzi alikuja hivi..ikawa balaa.. Mjomba akamuwahi..shughuli ikawa balaa na mwaka jana mwishoni kashirikishwa pamoja sex lady yemi alade hii nyingine ya jana hatari sana...
6 Reactions
37 Replies
7K Views
New couple in town?! Hii ni kutoka Insta ya Nicki. Alipoulizwa na fan kama wana date. "You dating Eminem???" ... Nicki akajibu with a simple, "yes." Kwenye album yake mpya iliyo njiani, Nicki...
3 Reactions
68 Replies
9K Views
Anaitwa Golden boy akiwa ni msanii WA Bongo flavour na hiphop anazidi ongeza kasi kwa nyimbo zake Kali ikiwemo natamani na kibelenge aliyo shirikishwa na msanii jito fire bofya hapa kuskiliza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana. Au kaacha mziki.
1 Reactions
51 Replies
12K Views
Kiukweli hizi ni zama za mwisho..
4 Reactions
91 Replies
12K Views
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake Akiongea na...
11 Reactions
109 Replies
15K Views
Nimejiuliza ila sijapata jibu. Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano! Jana nimeshangaa...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
umekuwa ni msemo maarufu sana mtaani pengine wengi hawajui nani aliyeuanzisha huu msemo wengi hawajui young killer ndo mwanzilishi baada ya kuimba nyimbo ambayo alikuwa anamponda msanii mwenzie...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau, Leo nimeona niseme chochote kuhusiana na huyu jamaa Msami...napenda sana style ya nyimbo zake plus mitindo yake ya kudance kwenye video zake. Jamaa ana style flani hivi ya kipekee...
2 Reactions
20 Replies
9K Views
Wakuu vipi. Huyu dogo Rayvan alitoa Pochi Nene na watu wakaipenda. Sasa akasema atatoa Remix ambayo itakua na wasanii kibao. Kabla hajatoa official alikua ana release video footage fupi fupi za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Msanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze...
1 Reactions
64 Replies
15K Views
Who's got more sauce?
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Feb 7, 2017 Familia ya Q Chillah walia na mkataba wa maisha Familia ya msanii Q Chillah imejitokeza na kuhoji mkataba wa Q Chillah na QS Mhonda J. Entertainment ambao unamfunga huyo msanii...
1 Reactions
46 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…