Jumamosi iliyopita ilishuhudiwa sherehe kubwa ya harusi iliyoteka dunia kwa muda iliyokuwa inamuhusu Prince Harry na mpenzi wake wa muda mrefu Meghan Markle.
Ndoa hiyo ilihudhuriwa na wageni...
Rayvany msanii wa wasafi classic chini ya diamond platinumz anayetamba kwa wiimbo wa Pochi nene. Ametoa free style matata akiwatani mke wake, harmonize, sarah na muarab fighter.
It was joke and...
KWa wale vijana wenzangu wa zamani wanaweza kushangaa kidogo kama kweli kundi hili lililowahi kutamba sana miaka 35 iliyopita na vibao kibao kama vile Chiquitita, Money Money na nyingine kibao...
Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye...
Baada ya kuzozana kwa muda mrefu Mwijaku na Mwenzie hatimae wimbo waliokua wanaupa kiki watoka hii ina maanisha kwamba ilikua ni mzozo feki kati ya vijana hao wawili kuupa kiki wimbo wa Mrisho...
Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa...
Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja baad ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la...
Samahani mimi kama Mzalendo naomba niulize wale wazalendo wanaopenda maendeleo wenzangu.
Hivi kweli Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ni wa kuuza Karanga kweli?
Yani na ma Exposure yote...
Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
Eti aeleza alivyomvua wigi na kumtupia viatu nje Madale, asema anamchukia ile mbaya ch akuchekesha sasa eti amemsifia Zari.
Ubuyu wa moto moto unasema kuwa baada ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni...
Mume wa Dada ake Diamond, Petitiman alishawahi kuwa na mahusiano na mwanadada Hamisa.
Kwa hiyo Diamond na shemeji yake Petitiman wameshatembea na Hamisa. Na Huku Hamisa na Wifi yake Esma...
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na...
INAGHARIMU SHILINGI 0.00 KUWAHESHIMU WATU WENZAKO
Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni mmoja ya nguzo kuu katika mafanikio, Hii imedhihirishwa tena baada ya msanii Ali kiba kuwa katika skendo...
Kamwe tusimdharau Diamond... Ana mafanikio kuanzia cash, umaarufu, kutoa ajira kuitangaza nchi kimuziki nknk... Amepata nafasi na akaitumia vema... Ni bahati na fursa ya kipekee sana...
Kila mtu ana historia ya maisha yake. Hakika kupambana ndiyo njia pekee ya mafanikio, lakini kupambana kwa mwanamke inaweza ikawa ni kama kuteleza tu juu ya ganda la ndizi, hasa kutokana na uzuri...
Hitmaker wa ngoma ‘Seduce Me’, Alikiba amefunguka na kudai kuwa ni kweli kuna mchezo wa wasanii kununua views katika mtandao wa YouTube.
Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa ni siku moja imepita...