Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kuna show moja ya Wasafi TV inaitwa Refresh,ni show inahusu habari za wasanii japo si show ngeni sana coz kuna Enewz ya EATV na clouds kuna Clouds E inafanywa na Shadee,but binafsi nimeilewa sana...
7 Reactions
42 Replies
10K Views
KIFO CHA MR. EBBO... KILICHOMUUA CHAJULIKANA Abel Loshilaa Motika a.k.a Mr Ebo enzi za uhai wake. KIFO CHA MR. EBBO... KILICHOMUUA CHAJULIKANA Na Joseph Ngilisho, Arusha VILIO, majozi na...
0 Reactions
23 Replies
23K Views
Wadau nimeona kuna uzi unamuonesha Moze Iyobo akihojiwa hivi karibuni huku sauti yake ikiwaacha wengi na mshangao. Nimeingia YouTube na kukutana na video ya Moze Iyobo akiwa anatoa sauti kubwa na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Toka Alikiba arudi kwa mara ya pili kwenye game kumekuwa na kundi kubwa sana la watu wasiomtakia mema katika muziki wake, wamekuwa wakihubiri uzalendo na kusapoti kazi za nyumbani ila ikifika kwa...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Mtangazaji na mchambuzi wa michezo mahiri wa Azam Tv, Jeff Leah kwamuda mrefu sasa hajaonekana katika vipindi vya Azam Tv, huku akiwa anaonekana katika matangazo ya Star times ya kombe la dunia...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa wale wapenzi wa filam za kihindi poleni sana. --------------- Veteran Indian film industry stalwart Shashi Kapoor has died at the age of 79, it has been confirmed. His nephew Randhir told...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kupitia mobetostyle kwa Mara ya kwanza mbongo muvi aunty Ezekiel alipendeza sana kwa vazi La heshima alilovaa kwenye uzinduzi wa film yake inayoitwa MAMA ktk ukumbi wa Mlimani City, kwa kweli...
8 Reactions
66 Replies
9K Views
Aunt Ezekiel akiwa na mwanae Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya? Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu...
7 Reactions
124 Replies
27K Views
Yaani Nandi anajisifu kua umaarufu wake umepanda baada ya video yake chafu kuonekana mitandaoni mwezi uliopita, hili toto ni bure kabisa. Je kama wewe mzazi wa huyu binti ungemshauri nini kwa huu...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Yani sasa ndo nimeamini Ali Kiba ndo mtu ambae hataki kabisa bifu lake na Diamond life maana atakosa promo kimziki kabisa. Kama ilivyokuwa ushindani wa Ray na Kanumba ukamfanya Ray nae aonekane...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Watu wengine bhana[emoji52] Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye. Tangu kipindi kile cha...
17 Reactions
92 Replies
8K Views
Ila Mange jamani namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, bi dada si...
9 Reactions
62 Replies
8K Views
To be Honest, Tanzania tumebarikiwa vipaji yaani kuna watu wanajua mpaka wanakera lakini "System" inaonekana kama inawatupa mkono sijui kwanini ? Unasikiliza wimbo mpaka unasema Damn .Ngoma...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa kama LeBron James wanaweza kukumbuka matukio yote ya kwenye mechi wanazocheza? Angalia hapa kupitia YouTube jinis LeBron James anavostaajabisha watu kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ngoma ni kali sanaa anzia Lyrics, beat na kwenye melody Daamn huyu mtoto wa kike kafanya kweli humu. Ni ngoma flani unatakiwa usikilize ukiwa umetulia flani ndio unaweza ifaidi, amelia uzuri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Socialite Jack Pemba has come out to comment on the s*x video making rounds and it reminds us of a Shaggy song – It wasn’t me. A girl whose face appears in the video identified as Honey Suleman...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama...
11 Reactions
87 Replies
13K Views
Habari ya mda Huu.. Asilimia kubwa ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, na uwepo huu wa Mungu umeleta Imani tofauti tofauti za ambazo binadamu huziishi. Na Imani hizi zinaheshimiwa, wapo...
9 Reactions
179 Replies
28K Views
Naanza na kunukuu "Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu...
7 Reactions
61 Replies
8K Views
Habarini wakuu Hapa Africa kuna masoko (regions) meng tofauti. Kuna East Africa, West Africa (Ghana, Nigeria), South Africa, Francophone countries etc... Kimataifa kuna America, Europe...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…