Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mara nyingi huwa najiuliza hivi huyu dada salama jabri wa BSS na Channel 5 je ni mdogo wake yule jamaa wa kuiga miziki wa zamani wa bongo Saleh Jabry au ni majina tu yanafanana?? Pili huwaga...
2 Reactions
76 Replies
28K Views
Kila star Ana star wake Hapo ni JB Jacob Steven akiwa anafurahiii kukutana na coutinho, Picha Nyingine ni FA na boateng Mara nyingi anayecheka na kufurahi sana ndo anakuwa naomba selfie, Pia...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Huu ndio muonekano wa mrembo na msanii Linah akiwa anatengeneza mwili wake kwa mazoezi.
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Ni takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16. Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa...
10 Reactions
283 Replies
28K Views
Alikiba , Harmonize , Mbosso , Layvanny , Lavalava ...nyote akikishen mnamuombea diamond maisha maana diamond akifa nanyie game yenu kwisha. Maana amna vipaji halisi ...mnabebwa na upepo wa...
1 Reactions
18 Replies
35K Views
With all respect to Ali Kiba na fans wake ila ukweli lazma usemwe Ali hawezi enda toe to toe na Diamond yaani hata CMG wambebe vipi tena waongezeke na East Africa radio +media nyingine ziongeze...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kupitia ukurusa wake wa instagram , mjasiriamali maarufu na mzazi mwenzie na diamond Platnum's, zari the bosslady aka kiboko ya masista duu africa mashariki, amepost ujumbe wenye UTATA na kuwaacha...
10 Reactions
275 Replies
20K Views
Ikiwa Elizabeth Michael (Lulu) aliyehukumiwa miaka miwili gerezani kwa kosa la kuua atakuwa amepewa msamaha wa Rais Siku ya muungano tarehe 26/04/2018 kwa robo ya kifungo chake kama alivyopewa...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
kuna vitu wasanii wanatufanya wajinga hata kirusi cha kuharibu data hatujui leo tukashindane na google kwenye youtube kudukua aka hack kweli [emoji23][emoji23]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali isiyotegemewa na wengi especially kwa mastaa mafahari wawili, namzungumzia wema sepetu pamoja na jackline wolper ambapo wawili hao walikua hawaivi chungu kimoja , Ila sasa hivi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Sasa ndo naamini kwamba wafanyakazi wa clouds wana Mapenzi Diamond na bado wanafurahia kazi zake,na Wana Mmiss pia isipokuwa tu wanaogopa kibarua kuota nyasi kwa vile bosi wao ana chuki binafsi na...
3 Reactions
53 Replies
8K Views
Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere amedai kwamba msanii wa muziki Khalid Mohamed maarufu kama TID ndiyo msanii kutoka Tanzania ambaye alifungua milango kwa wasanii wengine wa muziki nchini...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Morning beatiful people Ther is rumors spreading all over the jiji kuwa Elizabeth michael She's free! Well, kinda lulu left prison on May 11 baada ya kukaa miezi kadhaa behind...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Robert Nesta Marley maarufu zaidi kwa jina la Bob marley,alifariki siku kama ya leo 11-may-1981 Bob marley alizaliwa Jamaica tarehe 6-2-1945 kwa mama mjamaica Cedella malcolm booker,na baba yake...
10 Reactions
126 Replies
19K Views
Mh. Sugu tunakudai nyimbo mpya kwa sasa ni haki yetu utupe zawadi ya nyimbo kwa kipindi hiki muhimu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari jf nimeiona kwenye instagram ya diamond nikaona nishee na nyie.
2 Reactions
30 Replies
15K Views
Leo mawingu tv kumnadi msanii kuanzia vipindi vya asubui mpaka vya usiku na mapicha picha kwenye mitandao imekaaje? kisa tyu anaachia ngoma au ndio yale anayosema roma NGOMA INATOKA SEPTEMBER...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO. Linah tena nimerudi,ule ujumbe nakazia, Vipi nimebisha hodi, bado waninyamazia, Kumbuka niliahidi, sitolishusha pazia, Linah nakukumbushia, ujumbe nilokutumia Ngoja...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nadhani wanaume wenzangu hakuna atayepinga hapa watoto wakali full hips vyura usiseme..Ila huwa najiuliza kwanini huwa wanamkimbia huyu jamaa....!!!
0 Reactions
66 Replies
18K Views
Ikiwa leo ni siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya kiba pale mawingu (clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa...
1 Reactions
105 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…