Nnje ya mziki biashara ya matangazo kwa makampuni makubwa imekuwa inalipa wasanii wengi na hivi majuzi Diamond amevuta mkwanja wa Billioni 1 kukitangaza kinywaji cha ufaransa cha Bllaire
Lakini...
Leteni habari zao walipo na impact yao. Ningeongeza Unique Sisters na makundi mengine yaliyokuwa yanavuma 1990-2000
Itakuwa si vibaya mkatupa habari za kumbi kama Langata, gazeti la Sani, akina...
Huyu mama anafukuzia miaka 80 sasa na sauti yake inaanza kuchoka,
Lakini ameutendea haki wimbo mgumu ambao wasanii vijana wengi hawawezi kuuimba.
Uwezo kama huu tunategemea mtu akifika miaka kama...
Hatimaye sasa wcb na efm wanafanya kazi pamoja ili kuupeleka muziki wetu kimataifa. Leo alikaribishwa msanii wa wcb baada ya muda mrefu ili kufanya interview.
Wale wanafki wanaoendelea kubana...
Harmonize ameupasua mtandao wa Instagram kwa mshangao baada ya kuweka wazi bei ya zawadi ya saa ya mkononi aliyonunuliwa na mpenzi wake, Sarah.
Kupitia kipande cha video alichoweka akiwa...
Salaam
Kuna ili kundi la muziki la kizazi kipya linajulikana kama THE MAFIK kwa mara ya kwanza niliwaona wakipiga live(siyo playback) pale Zanzibar na limekuja kwa kasi kuteka mashabiki wa...
Akiwa ameweka vionjo vya nyimbo zitazopatikana kwenye album yake mpya ya a boy from tandale.
Washabiki wamepagawa sana wakionyesha mzuka wa hali ya juu.
Leo ameweka nyimbo alizoimba na Lavalava...
Ikiwa kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu sana ni JACKIE CLIFF kuachiliwa jela alikofungwa kule China.
Sema atahit headlines Sana akirejea bongo alafu wengi tumejipanga kuenda kutafuta kick pale...
Msanii nguli wa filamu Tanzania Blandina Chagula alimaarufu kama Johari amefunguka na kuweka wazi sababu kubwa inayomfanya ashindwe kwenda kumtembelea msanii mwenzake wa filamu Lulu Michael...
Ukiangalia waimbaji wa nyimbo za kiimani angalau wakatoliki na wasabato na baadhi ya kwaya kubwa hasa AIC na KKKT.
Nikiangalia hii channel inaitwa Star Religion wanaonyesha nyimbo za injili...
Daddy is coming!???
Meneja wa WCB, Sallam SK amesema suala la nyimbo 2 za Diamond kufungiwa na BASATA wiki iliyopita hawezi kuliongolea kwa kuwa tayari wamelifikisha kwa Mlezi wa Lebo hiyo ambaye...
Wema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV
Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana...
Habarini wakuu, kwa muda sasa wasanii hapa Tanzania wamekuwa wakilalamika kuhusu kitu kinaitwa HAKIMILIKI na imekuwa shida sana kufanikiwa, kila siku wanapigwa danadana, shida hasa imekuwa wapi...
Za muda huu wanajamvi, najua mko poa na kwa wengine wenye mushikhir na miili yao MUNGU awaponye.
Kama heading inavyosema, najua kuna wahusika mko humu jamvini, BASI HUU UZI NI WA KWENU.
Nianze...
Mfalme wa singeli nchini Tanzania, Msaga Sumu amefunguka na kumtaka rapa Fid Q akae kimya kama alivyofanya mwenzake Afande Sele kuliko kuonesha wivu na roho mbaya yake katika kuzungumzia vitu...
Huyu dada huwezi mfananisha na celebrities wa kike wa kizazi hiki,kuna nyimbo zake ukizisikiliza,hata ulikuwa na mawazo yanaisha,,Mungu amlinde tu,maana matatizo ni kwakila mtu
Jamani mnaofahamu Oscars ni kitu gani nisaidie kuielewa. Inahusu nini hasa, it is a highly celebrated and placed event in the USA and perhaps around the world!
Naweka link ya washindi wa mwaka...
Habari wakuu,
Nimeona baadhi ya posts humu JF watu wakitaka kunitahamu. Nimeona kistaarabu nije na kueleza mwenyewe wasifu wangu.
Kwa jina naitwa ‘Carol Ndosi’, jina la Serikali Caroline Moses...