Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jana nilisoma humu juu ya kifo cha mwanamuziki wa Uganda, Mose Radio, kilichosababishwa na kupigwa na baunsa wa klabu. Leo nimeiona video ya tukio. Mose anaonekana anapigizana kelele na mtu...
8 Reactions
80 Replies
11K Views
Nimemkumbuka huyu mwanamuziki aliyetamba na nyimbo zake za taaratibu za mapenzi. Hivi yuko wapi siku hizi na anajishughulisha na nini?
2 Reactions
33 Replies
11K Views
Ukiwasikiliza wote ni wazuri katika Utani, Kushushua, Kupiga madogo, Kutoa maneno ya Shombo na Kuchekesha kwa vituko vyao pindi wanapokuwa wanazungumza mbele ya hadhira / umma lakini inakuwa ni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kundi lililojipatia umaarudu sana miaka ya nyuma la LAKHI SI PESA limesambaratika rasmi kutokana na mgogoro ulioanza toka mwanzoni mwa mwaka 2016 mpaka sasa. kundi hili lililokuwa na matawi sehemu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii leo Jumanne ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katikaukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Eeh!! Makubwa , aunty Ezekiel ammwagia cheche Bosslady tunda kupitia ukurasa wake wa instagram akimtaka msanii huyo amlipe pesa zake za pombe .. Tunda na show off zote insta kumbe anakopa mpaka...
13 Reactions
97 Replies
22K Views
Taarifa iliyoripotiwa January 25, 2018 ni kuhusu King Majuto ambapo ilisemakana kuwa amelazwa Muhimbili, sasa Masoud aliyetoa taarifa hiyo ambaye ni Afisa habari wa Chama cha waigizaji ameelezea...
12 Reactions
76 Replies
15K Views
Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana. Zarina ni muda sasa aamue...
14 Reactions
385 Replies
53K Views
Wasanii wengi watanzania wamejengewa dhana bila "wadau" yaani clouds au RUGE hawewezi kupata air time ya wananchi nimeandika haya baada ya kumsikiliza ruby jana wakati akiomba msamaha kupitia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Gigy Money ameonyesha kutokubaliana na utaratibu wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) uliowataka ma-video vixen kujisajili katika Baraza hilo. Muimbaji huyo ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa Basata...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikiliza hii interview, yani Jide nimegundua kitu si mkwelii kwa kiasi chake yani mpaka sauti inatetemeka. Anyway
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Madame kaja na mpya. Katika page yake (Tz Sweetheart) na kuwatumia baadhi ya wadau wake wa karibu kawajulisha wa Save the Date. Yaani tarehe 30 Kuni 2018 si siku ya kuikosa. Hii tunaiona baada ya...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Niseme kuwa ni Fella na Diamond ndiyo waliosababisha Yamoto Band Kufa. Kama ambavyo ilikuwa kwa Wanaume family kuvunjika, chanzo ilikuwa ni Said Fella mwenyewe. Na si Juma Nature kama ambavyo...
19 Reactions
71 Replies
15K Views
Kweli huyu dada vipindi vyake havinogi na hajui kuvinogesha na hata audience wanaboa..kuna maswali mengi zaidi angeweza kunogesha he's inspiring guy lakini Mboni ameshindwa kumtoa guest wake...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba, amelaumu kitendo cha msaniii mwenzao Wastara Juma kulalamika mitandaoni kuwa anaumwa na kuhitaji msaada, bila kutaarifu uongozi wake ili...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mlioko marekan au wenye dstv mtatupa update basi kipi kinaendelea kwny hizi tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani. ============================================== wick post: The Full list...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
mangekimambi_Chekini tarehe, last time alipopatiwa pesa za matibabu takribani 40million alienda India akakaa 7 days only. Ukitoa na zile siku za safari ni kama alikaa India 5 days only. So...
8 Reactions
42 Replies
10K Views
MWANADADA aliyewahi kuwa mtangazaji ambaye haishiwi na matukio, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amesema kuwa yupo tayari kumpa ofa ya mapenzi mwanamuziki Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ mpaka asahau maisha...
4 Reactions
35 Replies
43K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…