Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naomba kujuzwa wakali wa hip hop wa zamani kama xplastaz, weusi ten ngangali na wakali wa sasa kama Niki mbishi n.k wako wapi hatusikii wakitoa nyimbo Kali za kuchana au ndo kusema hip hop imekufa
0 Reactions
41 Replies
9K Views
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Maneno ya DogoJanja Janja kuhusu picha za uchi za Irene uwoya
0 Reactions
52 Replies
77K Views
Natafuta picha za harusi sizipati lakini habari ni kuwa huyu prodyusa wa mziki ambaye aliyewahi kuseama kuwa ana alergy na hali ya hewa ya Tanzania ameoa mtoto wa rais mwinyi. Habari zilizokuwa...
7 Reactions
49 Replies
18K Views
Staa wa ngoma ‘Mbeleko’ Rayvanny aliyeko Marekani kikazi, baada ya kurushiana maneno yaliyoashiria kuwa amekosana kimahusiano na mama wa mtoto wake, ‘Fayhma’ sasa ameonesha kuelekeza mapenzi...
2 Reactions
40 Replies
47K Views
Hii ni show ya JUMA JUX Pale Escape One kwenye party ya after school bash
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi, Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena...
10 Reactions
90 Replies
9K Views
Jana usiku ndio ilikua siku ya zari all white party ambayo alifanyia uganda, nimekuletea video kuanzia anaingi ukumbini...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ana andika Msanii Mwijaku baada ya kuona mahangaiko ya Hamisa. "My brother unaekimbia majukumu yako, usiniache kabisa nikamkaribia girlfriend wako uliemzalisha na kumkimbia ukidhani hana thamani...
9 Reactions
93 Replies
18K Views
Katika pitapiza zangu mitandaoni nimebahatika kukutana na maelezo ya Vanny boy dogo wa WCB anasema kafanya ngoma na Darulo and French Montana....katika umri mdogo kama ule ameanza mambo makubwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Closed
Insta kunafuka moshi kwa wapenda ubuyu yaan mambo ni hivii,,ni pale bibi Tukinao mwenye miaka 49 kurusha kombora hili snapchat nadhan alimpa dongo yule mwenye party Don zella basi bomu...
9 Reactions
180 Replies
19K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Soma kichwa cha habar hapo juu Hivi huu utaratibu aliouweka ni nani? Clouds media imekuwa kimbilio la wasanii kwenda kutambulisha audio zao, msanii akitoa audio huwa ana...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la 1 billion USD Na hatoishia kwa Conor tu...
8 Reactions
161 Replies
16K Views
Nimegundua kwa nini Diamond hutoa nyimbo hata tano ndani ya mwezi mmoja na akitulia kwa muda wa mwezi bila kutoa wimbo anafutika ghafla kwwnye ulimwengu wa muziki. Hii itakuwa inatokana na nyimbo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau Leo tarehe 22/12/2017 ni siku maalumu sana kwa Watanzania wote kwani ni kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za jioni Leo 30/11/2017 wakati wa kipindi cha jahazi kinaanza nimeshituka kusikia wimbo wa Ruby_sijuti kwa mara nyingine ukipigwa redioni clous baada ya huyu mdada kupotea katika gemu...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Closed
Habari za jioni.. Kama kawaida nipo hapa Kampala leo kuna party mbili, ya Zari na ya Hamisa halafu zote zinafanyika kumbi jirani. Ni shidaaah
5 Reactions
131 Replies
25K Views
Nimekuwa nikitamani kumjua kwa jina ili nipate kupakua wimbo mmoja huwa napenda kuusikia kwenye Super Mix ya Ea Radio, sijui jina la wimbo ila nadhani unaitwa Vuma. Kacheza kionjo kwenye kipindi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Baraka da prince katoa ngoma iitwayo "Nipe nguvu" ni ngoma Kali ila cha ajabu viewers wake uko you tube wanapanda na kushuka. Ebu msome fuatilia habari hii moja ya shabiki zake anavyosema hapa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nipo hapa Kampala katika pita pita yangu mtaan nakutana na mabango na vipeperushi vinavyosomeka kesho tarehe 21.. Kutakuwa na party ya kufa mtu...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…