Kusemazana ukweli hii tuzo nyumbu wamempendelea, wapi hamisa, wapi Lulu, wapi Wolper? Nadhani hao niliowataja kwa kweli kwenye suala la mitupio ndio wanaongoza, wema sepetu hana kitu, ila kama...
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Timbulo amesema wasanii wa Bongo wajifunze kutoa kazi zao kwa lengo la kujitangaza nje ya nchi kuliko kutengemea wasanii wa nje ambao muda mwingine hawana mchango...
Diamond Platnumz second baby mama, Hamisa Mobetto is currently in Nigeria for a beauty pageant and while there, she took to Snapchat and made this post;
"The most beautiful girl in Nigeria is...
WAKATI akisubiri kufunga ndoa na mchumba wake, Uchebe Ashraf siku chache zijazo, staa wa muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ yu gonjwagonjwa, Ijumaa Wikienda limedokezwa.
Chanzo makini ambacho...
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana..
Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management.
Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa.
Sikia ngoma hii...
Utendaji wa kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Paul Makonda na Gavana wa Nairobi Mike Sonko hauko tofauti jinsi Mheshimiwa Makonda anavyoshughulikia huduma za kijamii kwa wakazi wa Dar hamna...
Msanii Ruby ameonyesha kufurahi sana baada ya mzungu kutoka italy akiimba wimbo wa ruby akapela uitwao na Yule. Rubby amepost akionyesha kufurahia sana. Wazungu wa Italy waliupokea vizuri sana...
Baadhi ya mashabiki amekuwa wakishikilia tafsiri yao ambayo ni tofauti na ile iliyokusudiwa na msanii husika. Hapa jamvini nimeleta ngoma kadhaa ambazo tunaweza kuzijadili;
Rostam – Kiba_100...
Wengi wetu naamini mnajua kwa kina jinsi monii na Roma walivyokuwa washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote.....
Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji...
Viongozi wa taasisi ya Uzalendo Kwanza wameamua kujiweka pembeni kwa kile walichodai kwamba hawamuelewi mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Chanzo makini kililieleza kuwa viongozi...
Kim Kardashian yupo radhi kufanya jambo lolote ilimradi apate fedha.
Mrembo huyo wa Kanye West amepiga picha za utupu kwa ajili ya tangazo la vipodozi vya KKW Beauty.
Mara ya mwisho kwa Kim...
Naandika ujumbe kwa majonzi makubwa.
Ikumbukwe kuwa Leo kama ilivyokuwa ikitangazwa kuwa ni siku ya wanafunzi kushuhudia show pale mliman city. Mimi kama mmoja wa wanafunzi hao nimeacha madesa...
MAMA SEPETU AFUNGUKA Mama mzazi wa Wema Sepetu amesema kitendo cha mwanae kurudi CCM bila kumuomba ushauri ni kitu ambacho kimemdhalilisha kama mzazi, asema yeye atabakia CHADEMA. Adai...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu
Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya
Acount ya...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kuna huyu bwana mdogo dimond licha ya kutumia nguvu kubwa lakin zinapotea bure tu
Jamaa anabebwa lakin habebek kabisa...
Mchekeshaji kutoka Timamu, Mama Ashura amesema hakuumizwa na maneno makali katika mitandao ya kijamii kutoka kwa mashabiki wa Alikiba baada ya kumkosoa msanii huyo kwa kukaa muda mrefu bila kutoa...
Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha...