Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kachaguliwa Chuo cha Tumaini na yeye First Year mwaka huu.
13 Reactions
91 Replies
11K Views
Wakuu habari zenu humu. Nina shida ya nyimbo ya Jide, Nuru. Kwa mwenye link mtandaoni anipe. Nimeitafuta sana mitandaoni bila mafanikio. Kwa mwenye nayo nikimpa hata namba anirushie whatsaap...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Joti Na Mkewe "HoneyMoon" Wakiwa Singita Grumeti Game Reserve Sabora Camp Serengeti
4 Reactions
69 Replies
12K Views
Mange amshambulia Lulu juu ya kesi ya kanumba. Inasemekana sababu kubwa ni ukaribu wa lulu na hoyce temu ambaye ni adui wa mange. Mange alipotoa ushauri wa lulu kukaa nje ya media alitegemea lulu...
23 Reactions
430 Replies
61K Views
Mamlaka ya udhibiti wa Chakula na madawa TFDA jana imetoa tamko la kuzuia utumikaji wa maji ya Lady Jaydee mara moja baada ya taratibu za usajili wa maji hayo katika mamlaka hiyo kutofuatwa...
0 Reactions
35 Replies
15K Views
Simsikii akivuma siku hizi!
5 Reactions
47 Replies
9K Views
Bora rais wa wambea soudy tangu mwanzo hakuamini ubuyu huu ulioonesha dalili za uchachu Msanii keisha katoa post akiwashukuru wana tip top wenzie kwa ushirikiano walioutoa kukamilisha shooting...
3 Reactions
55 Replies
12K Views
Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana...
5 Reactions
97 Replies
13K Views
Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari...
4 Reactions
77 Replies
10K Views
Kwa habari za kunyapia nyapia zinadai kuwa video vixen mwenye mvuto wa hali ya juu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla Tunda Sabasita amebeba ujauzito wa msanii Diamond Platinums Wawili hao...
5 Reactions
160 Replies
42K Views
Mbunge wa Mtera mh Lusinde ( Kibajaji ) amesema katika ujana wake alikuwa ni muuza kahawa maarufu pale Kawe ambapo alijulikana kama Stone. Lusinde amesema yeye elimu yake siyo rasmi na kwa hiyo...
13 Reactions
103 Replies
13K Views
Huyu bidada anaitwa Dati baadhi yetu tutakuwa tumemskia saana au kidogo. Anafanya vizuri kimziki nchini Sweden. she's the best anachonifurahisha anaueneza Utanzania kupitia mziki wake hasa kwenye...
2 Reactions
40 Replies
8K Views
This is too much huyu mama jamani kuweza kuishi nae kipaji haswaaa Walianza na wema akamchambaa,akaja zari alikua anapigwa madongo Leo zamu ya hamisa kaaah Au anataka mwanawe amlale mwenyewe...
11 Reactions
141 Replies
21K Views
Mambo vipi wadau,mimi naitwa Snitch2020 Bila kupoteza muda ningependa kuwaambia kuwa nimevutiwa sana na style anayoitumia msanij huyu CheupeDawa. Video yake imetulia na Inaendana na maudhui ya...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Tena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia Ila huyu kijana kanishangaza Eti hobi Akihojiwa EATV katika...
2 Reactions
81 Replies
14K Views
Babu mmoja Arusha amewatoa hofu mashabiki waliodai dogo janja huenda akawa anachapiwa mzigo na vijana wabemba nondo mjini,amedai kwa jinsi anavyomfahamu dogo janja alivyo lazima Uwoya atulie...
4 Reactions
81 Replies
16K Views
Old times, keeping good music alive
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu...
1 Reactions
143 Replies
23K Views
Helo wana nzengo wa humu jukwani. Hii tuite ni bahati kwa mwana dada Irene uwoya kuolewa mara mbili tena kihalali kabisa. Ya mwanzo kanisani na sherehe ya kufa mtu na hii sasa ya kiislamu. Kwa...
4 Reactions
73 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…