Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

saa 10:30 washaintroduce kuwa leo watakuwa na diamond. na inaonekana hii interview inasubiriwa sana kwa sababu wamesema wanaungana na clouds tv. sasa hivi zinapigwa ngoma katika kusogeza sogeza...
28 Reactions
1K Replies
154K Views
Msanii wetu mpendwa kesho atakuwa live Redioni na kwenye TV. Kama tunavyowajua Clouds wao ni watu wa maslahi tu. Kuna mdau alisema lengo lao ni kumshusha Diamond, japo mimi sikuona hilo. Sasa...
11 Reactions
106 Replies
15K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Kama wewe ni mwana hiphop kuna madai hapa ambayo nimeamua niyalete hapa kwenu wapendwa, madai hayo yameibuliwa na mwana...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Hakuna kitu kibaya kama madawa ya kulevya, mnyama kutoka los Angeles licha ya kuacha na kusitisha utumiaj wa madawa ya...
3 Reactions
73 Replies
12K Views
Pole sana mdogo wangu Diamond Platinum. Binafsi ni mfuatiliaji wa muziki wako na hua nadiriki hata kununua nyimbo zako katika web yako.Mimi ni shabiki pia wa Swahiba wako Ally Kiba lakini lazima...
23 Reactions
56 Replies
40K Views
Wakuu Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Usije ukatuambia imevuja fanya iwe rasmi mi nimeikubali sana kwenye club itakuwa ni balaaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ommy dimpozi ameshikiliwa zaidi ya masaa matano leo baada ya mashtaka aliofunguliwa na diamond kwa kusema alimgegeda maza wa taifa wadau wamekuja juu sana huko mitandaoni na haya ndo maoni yao...
1 Reactions
111 Replies
21K Views
Mwanza. Emmanuel Mathias maarufu kwa jina MC Pilipili ameruhusiwa kutoka hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza baada ya kulazwa kwa takriban siku nane. Daktari bingwa wa upasuaji hospitalini...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Hongera bosi Ruge nadhani Gwajima alikufundisha kubalance stori,kesho mtoto mzuri atakuwepo mjengoni
6 Reactions
70 Replies
8K Views
Drama za sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe. Awali katika maelezo yake mwanamuziki...
5 Reactions
67 Replies
14K Views
Leo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa...
7 Reactions
142 Replies
27K Views
Nlipokua naanza mapambano yangu ya mafanikio kielimu na kimaisha fomula hii nliitumia. emu na ww jaribu. "Hata siku moja usitegemee sapport kutoka kwa mtu unaefanana, ama mwenye malengo kama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini. Congratulations bro Malisa GJ...
30 Reactions
157 Replies
28K Views
Hivi hizi tetesi za lady jaydee kuimwaga label yake ni za kweli?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba alikuwa ametengeneza tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond...
12 Reactions
58 Replies
10K Views
  • Closed
Wakuu hii ishu msipoteze mda wenu 100% kuifuatilia, Diamond platnumz ni mchezo mwingine kauandaa kwa ajili ya kuachia nyimbo mpya ndani ya kipindi cha Leo tena cha cloudsfm na cloudstv Hii...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, yule dj no 1 in town amehamia rasmi Efm radio na E tv akiachana na Eatv pamoja na radio. Hii ni habari mbaya kwa wale wa Club next door Masaki bila kusahau Jangwani Sea breeze. Alikua...
5 Reactions
61 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…