Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nimetoka kuiona video yake ya wimbo wa Likizo hivyo nimevutiwa kujua meneja wake wa sasa ni nani?
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Kesho asubuhi kuna tamasha kubwa litafanyika taifa . Msikose kiingilio bure Mgeni rasmi ni Mh majaliwa na Ali hasani mwinyi Wasanii watakuwepo Kama vile wcb ali kiba ,wasanii wa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
A popular singer has been arrested for "dabbing" during a concert in south-west Saudi Arabia. Abdallah Al Shahani, a TV host, actor, and Saudi national, was performing the dance move, which...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Janja kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu mahusiano yake, na kutoa sintofahamu kuhusu kutoka kimapenzi na muigizaji wa filamu za kibongo Irene Uwoya...
3 Reactions
63 Replies
21K Views
Watu wamekuwa wakimsifia kuwa irene uwoya ni chuchu saa sita kitu ambacho c kweli, irene ana mtoto mmoja hivo hawezi kuwa na hayo mambo saa sita. Ninachoweza kueleza ni kuwa kutokana na irene...
0 Reactions
37 Replies
16K Views
Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizofanya pia hajawahi ishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. kama kawaida yake hajamuacha wema sepetu salama.
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza...
10 Reactions
74 Replies
16K Views
Wakati akijibu post ya shabiki wake,wema sepetu aweka wazi kuwa madawa ya hospital anayopewa na madokta ili kumsaidia apate mtoto ndio yanayomnenepesha. Je ni sahihi kwake kuweka wazi jambo hili?
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Hi All Kwa nin tanzania tumekua na mfumo mmoja wa comedians, i.e all comedians wanatumia mfumo wa taarifa ya habari, ( Yaani kwenye comedy kunakua na mtu anatangaza taarifa ya habari theni ndo...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Huyu jamaa ngoma zake Kali sana, pamoja na ngoma nyingi alizotoa, hakuna anayoimba lakin huwa zinauza mno. Ametoa juzi "I'm the one", baada ya muda mfupi katoa "wild thoughts" akiwa na Rihanna...
6 Reactions
74 Replies
9K Views
Naomba kumjua tu!!Dunia hii,mmmh!
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Diva akiwa katika kipindi cha Ala za Roho amefunguka kuwa hata kuja kumsahau Diamond (Chibu), Unaweza Play Kusikiliza akitililika kwa sauti yake ya Usiku
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye...
51 Reactions
147 Replies
18K Views
Tuzo za Uganda Entertainment Awards 2017. Wamechagua wasanii wakitanzania Karina nominees zifuatazo. Diamond platnumz na Darasa wamepachikwa kama East African Act #UEA2017. Rayvanny na Vanessa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wa hamisa ameleta mjadala mtandaoni kila mtu anaongea lake wabongo ni nouma
1 Reactions
12 Replies
2K Views
..Ali Kiba ashiriki kampeni za muungano wa NASA/ Raila Odinga. ..kuna taarifa kwamba Ali KIba ana urafiki wa karibu na Gavana wa Mombasa, Hassan Joho, ambaye anatokea chama cha Raila Odinga.
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwa wale mashabiki wa Arsenal, mchezaji wa zamani wa Timu hiyo yuko Dar es Salaam kwa mualiko wa Sport Pesa na jana alikua maeneo ya Break Point Konondoni akifurahia maisha. Hawa wafadhili wapya...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…