Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

MSANII wa filamu Bongo , Miriam Jolwa ' Jini Kabula 'na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu , Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena . Akizungumza Kabula alitoa ya...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wasanii mbali mbali wakiwa njiani kuelekea Tanga kumsupport Rais Magufuli atakapoweka jiwe la msingi katika mradi wa Bomba la Mafuta Tanga Kesho, Namuona Stamina,@shilolekiuno_badgirlshishi na...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Rihanna anawapatia wasichana nchini Malawi baiskeli ili kuwasaidia kupata elimu. Ni mojawapo wa ushirikiano kati ya Wakfu wa mwanamuziki huyo wa Clara Lionel Fountaion na kampuni moja ya baiskli...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla! Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli. Hakika...
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Harmonize amesema kuwa Kabla ya Mr Nice, nilitaka kumuweka Bwana wa zamani wa Wolper (Dallas) kwenye Video yake ya Sina. Unaweza bonyeza play kumsikilize akifunguka mengi hapo chini.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!! Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Staa wa Bongo Fleva, Msami Baby, anayetamba na kibao chake kipya cha So Fine, alichomshirikisha rapa machachari, Chemical amefungukia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, Irene Uwoya...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Mahakama ya Kisutu imeharisha kesi inayomkabili Wema Sepetu mpaka itakaposikilizwa tena tarehe 15 na 16 August
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Wanajamvi salaam Nimeona video ya wimbo mmoja wa lavalava na linex. Nimeshangaa kuona eti lavalava amepanda na viatu kitandani hizi video za kibongo kazi kweli kweli Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Mm ni mkereketwa namba moja wa wasafi yaani huniambii kitu kuhusu wcb_wasafi but kuna tabia fulani naiona ni unprofessional, hii ni tabia ambayo kwao wanaiona nzuri but kwa upande mwingne ina...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Bila kupepesa maelezo mwana mama Mange Kimambi amefunguka haya kuhusu tatizo la kiafya la msanii "Kabula" -Ndumilakuwili-
8 Reactions
51 Replies
20K Views
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa...
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Msanii wa hiphop Chemical aonyesha maujuzi ya kunengua kwa kuwa watu wanamuona yeye ni mgumu kwakuwa anafanya mziki wa hiphop ngumu ila amethibitisha kuwa anaweza kucheza singeli kama wadada wengine.
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Hivi ukiwaangalia hawa bongo movie wote Wa kike na Wa kiume huwa mnawaelewa kweli Kwa maana ya IQ ...elimu...mtazamo Wa maisha...lifestyle nk Ukisikia Mdogo wako Wa kike au Wa kiume anataka...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Ndugu wanaJF, Shahidi kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima amesema sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald 'Masogange' ulikutwa na heroin. ===== Mfululizo wa kukamatwa, kesi...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Aisee huyu sijamsikia kabisa hivi mwaka huu hakugombea hata viti maalumu maana 2005 alikuwa machachari sana??
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Hivi karibuni katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii ili kujipatia habari nilikutana na picha chafu za uchi za binti wa Kitanzania ambazo nilifanya kuzipotezea,kilicho ni shangaza siku...
0 Reactions
122 Replies
43K Views
Nashindwa sana kumuelewa huyu Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Mariam Dodo Abdallah kwa vitendo vyake vya kuwa anakosea / anakengeuka / anavapa kila mara anapokuwa akitangaza iwe ni asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mimi naanza; Leo ni siku ya kuzaliwa ya Arnold Schwarzniger muigizaji mashuhuli kutoka USA.. Pia ni siku ya kuzaliwa ya meneja wa chelsea fc ya Uingereza Antonio Conte Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…