Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Zarithebosslady na Diamond Platinumz baada ya msiba wa mama yake Zari mama mkwe wa diamond kuisha hivi punde waamua kwenda kujiliwaza pande za dubai na kupost mavideoz online. watu wengi...
1 Reactions
107 Replies
25K Views
Umofia kwenu wana JF, Ebwana nawaulizia hawa wasanii waliowahi kutamba miaka hyo kwenye fani ya music 1.Ras Pompidou mara ya mwisho kumuona ilikuwa kwenye Tamasha lililoandaliwa na Eastafrika...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Msanii Ferooz Msanii Ferooz ambaye alikuwa kwenye kundi la Daz Nundaz ambaye amewahi kufanya vyema na ngoma kibao kali ikiwepo 'Starehe' amefunguka na kusema Rais wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa...
1 Reactions
51 Replies
15K Views
Wakuu mwenye kufahamu umri wa hawa wasanii wetu pendwa naomba atililike hapo chini. 1.ben paul 2.bill nenga 3.Nandi 4.diana nyange 5.dogo janjaroooo 6.ASLAY 7.young daddy 8.chemical...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Muimbaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai ameshatolewa barua na mpenzi wake aliyenaye kwenye mahusiano na endapo Mungu akimjalia atafunga naye ndoa ili kuhalalisha. Shilole amedai kwa sasa...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Nimemsikiliza Akon akitoa speech about rebranding Africa uko Kigali kwenye mkutano wa vijana, natamani sana kila kijana amsikilize kwa makini kabisa hutatoka bure. Karibu.
6 Reactions
19 Replies
3K Views
ZARIthebossLady a.k.a Zarina Hassan a.k.a Zari mke wa msanii mkubwa East Africa Diamond Platinumz ameonyesha heshima kubwa alipokuwa akimkaribisha mume wake Diamond platinumz kwenye msiba wa mama...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Kwa ambao walikuwa hawafahamu ni kwamba Diamond platnum na hawa waliwahi kuwa wapenzi hapo nyuma ...,, kipindi hicho ndo diamond anatokatoka kimziki nyimbo ya ntarejea ni kama walijitabiria haya...
6 Reactions
45 Replies
7K Views
NIKK WA PILI ASEMA WEUSI HAWAUI MUZIKI, AWAHUSISHA ASLAY NA DIAMOND PLATNUMZ . Msanii wa muziki kutoka Kundi la Weusi, Nikki wa Pili amesema anasikitishwa na propaganda za wasanii wenzake pamoja...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Bondia Jeff Horn jana alimchakaza vilivyo Man Pacquaiao a.k.a mzee wa ngumi cherehani ,baada ya pambano akatamba kuwa anataka pambano na bondia Floyd Mayweather . Lakini ukiangalia haraka haraka...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Sizonje’ ambao ulipendwa na watu wa rika zote ndani ya nchi na kimataifa, hatimaye Jumatatu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJamvi wasalaam, Baada ya mahakama kuu kutoa agizo kwa Tigo kuwalipa 2.1bil wasanii Mwana FA na AY kutonaka na kampuni ya Tigo kutumia kazi zao bila ridhaa yao. Baada ya maamuzi hayo ya...
8 Reactions
79 Replies
11K Views
Ben pol alikua ni moja wa wasanii ambao walikua hawana skendo na alijulikana kutokana na kaz zake nzur tu hakika nilikua namkubali kwan alikua tofauti na wasanii weng wa bongo Sijui nn...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Mtayarishaji nguli wa muziki, Quincy Jones ameshinda kesi ya madai ya Dola za Marekani 9.4 milioni (sawa na takriban Sh20.7 bilioni za Kitanzania) ikiwa ni mrabaha na ada ya kurekodi kazi za...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Msanii Fid Q amesema anapewa sifa nyingi ambazo amesema zimekuwa ni mzigo wa mwiba kwake kwa kuwa zinamfanya afikirie ni jinsi gani ataweza kufanya kama anavyofanya au vizuri zaidi ya anavyofanya...
9 Reactions
57 Replies
7K Views
Jamani leo nimeingia you tube na kucheki interview ya vanessa mdee ktk channel ya dizzim online, ameongea vitu vingi na haswa nadhani ni kwasababu aliingia amelewa yani yupo high ila sijajua ni...
8 Reactions
87 Replies
19K Views
Mimi Sijui huu wimbo ni mpya au wa zamani ila ni vyema nishauri ili kosa Kama hili lisijirudie tena. Mziki wetu unakuwa wa kimataifa kwa kasi sana. Ni vyema kuheshimu kaliba na tamaduni za mataifa...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Msanii wetu pendwa Esterlina Peter Sanga almaarufu officiallinah amejifungua mtoto wa kike na hivi ndivyo ilivyokuwa kabla ya kujifungua alipokuwa anapelekwa Leba. Hongera sana Malkia wa Nguvu...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
@DiamondKaranga pakiti moja shilingi Mia hiizi... LADIES AND GENTLEMEN JUS WANTED TO LET YOU KNOW THAT''' TAREHE 05/08/2017 PALE TAIFA MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA NCHI THE MAIN MAN, MR PRESIDENT...
4 Reactions
40 Replies
10K Views
Naomba mnisaidie jamani ebitoke analindwa kwa kipi hasa ? Hana utajiri wowote. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…