Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari wakuu Naweza kusema mpaka sasa wizkid (Nigerian's Afro-pop artiste) hana mpizani katika anga la muziki Africa.. Huyu jamaa kadri ya siku zinavyosogea na yeye ndo anazidi kutusua...
9 Reactions
44 Replies
6K Views
Msanii wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Chaz Baba amefunguka kwa kudai muziki wa dansi hawezi kufa kama wasanii wake wangali wapo hai huku akisisitiza kwamba na kama ukifa basi heshima ya 'Live...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO Na Martha Mboma (ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Leo kwenye account ya Wasafi.com wameweka kwamba diamond platinum ndo anaongoza kuwa na subscriber wengi 600,177 kwa tanzania akifatiwa na Milladyayo na Global Tv hizi ni kwa mujibu wa Youtube kwa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Hamisa Mobeto-Salome.
5 Reactions
59 Replies
12K Views
Katika playlist yangu ya weekend iliyopita nyimbo za msanii Belle 9 zilitawala. Ukiachilia mbali sauti yake, melodies zake pamoja na back vocal anazozipiga kuna kitu kilinijia katika akili yangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je ni kwanini kila mnapomualika ' Mgeni ' anayezungumza lugha ya Kiingereza ni Babie Kabae tu ndiyo anauliza maswali mengi ila mwenzake Hassan Ngoma anauliza machache? Je ni kwanini kila...
7 Reactions
107 Replies
11K Views
R. Kelly ni mwimbaji aliye gwiji. Ana kipaji kikubwa sana. Binafsi nazipenda sana nyimbo zake. Ila, huyu jamaa huenda akawa ana matatizo ya kingono. Tuhuma za yeye kujihusisha na visichana vidogo...
7 Reactions
54 Replies
10K Views
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
117 Replies
21K Views
Akihojiwa hivi punde na You heard! Ya clouds FM na Soud Brown, Mwanadada mwenye msambwanda mkubwa Africa Mashariki na kati amesema anamnyatia Dangote. Kasema ni kawaida sana mtu kupenda na...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Bandugu naomba mnpe elimu za hawa watangazaji 1.regina mwalekwa 2.manfred masaku 3.gerald hando 4.maulid kitenge 5.orest kawau 6.masoud kipanya 7.suleiman semunyu 8.arnold kayanda...
1 Reactions
38 Replies
10K Views
Kikundi cha vijana cha nchini Nigeria kinachoitwa APC youth renaissance group(haijathibitika kama kinahusika na chama tawala cha APC cha Nigeria) kimewahimiza Polisi kumkamata Peter Okoye...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nampenda sana Vannesa Mdee mtoto ana swaga sana. wasanii wa kimataifa tanzania kwa sasa ni V.Money na Diamond tu wengine waigizaji tu. sijui kuna mwingine anajiita mkurugenzi hamna kitu pale...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Msanii Linah Sanga 'Ndege Mnana' amekanusha taarifa zinazoenea mtandaoni kuhusu suala la kujifungua na kuwataka watu wazipuuzie huku akiwasihi mashabiki zake waendeee kusubiri taarifa iliyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huku mpinzani wake mkubwa kwa upande wa mziki wa bongo flava mond kawa nominated kwenye tuzo kama tatu iv lakini kwa king kiba hari iko tofauti maana tokea huu mwaka uingie king kiba hajatajwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Yule msanii aliyejisifu ni bikra
3 Reactions
20 Replies
3K Views
msanii huyoamedai skendo kubwa ya Wolper iliyomtikisa ni yeye kusema hadharani alirekodiwa video za utupu na mpenzi wake wa zamani ila akajipa moyo akiwaza mbona hata Kim Kardashian alirekodiwa?
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Baada ya kuikosoa vikali albam ya Jay Z ‘4:44’, 50 Cent ametangaza kuonesha mfano kwa vitendo kwa kuachia albam mpya mwishoni mwa mwaka huu akitamba kuwa itaipiku ya Jigga. Kiongozi huyo wa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…