Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii wa muziki wa hip hop, Harmorapa amekuwa mmoja kati ya wasanii waliofika kwenye msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe, Bi Linah. Rapa huyo alipata nafasi ya kuuzungumzia msiba huo na namna...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Julai 13, imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayomkabili Agnes Gerald maarufu Masogange kutokana na kuwa mgonjwa. Masogange anayetetewa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Arsenal
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Mwana dada chemical asiyekuwa na mpinzani kunako ulingo wa hip hop kwa upande wa kina dada tanzania ameamuwa kutoka kwenye utomboy na sasa amekuwa na muonekano wa beyonce. Inasemekana baada ya...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Eti " Watu wote wanaomiliki Gari aina za Vitz na IST wasijihesabie kuwa wanamiliki Magari bali waseme tu kwamba wanamiliki Majenereta yanayotembea kwani kwa Mwanaume aliye na akili timamu na...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Zarithebosslady mama watoto wa diamond platinumz akiwa Uganda kampala kwa mama yake mzazi na dada zake pamoja na rafiki zake wakidance kwa pamoja, kukata viuno yaani viuno bila mfupa. Inasemekana...
2 Reactions
49 Replies
15K Views
Mpigie kura Diamond Platnumz kwenye tuzo za africanprideawards kwenye kipengere cha artist of the year. Mwisho kupiga kura ni tarehe 10,August 2017 na washindi watatangazwa katika the main award...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello fans.. Hello Jf members Jamani ninataka mchague wenyewe kati ya hawa wasaani wasanii 3 kutoka WCB nani mkali... Kwa kuzingatia vigezo hivi >> Utungaji wa mashairi mazuri >> Sauti >>...
2 Reactions
26 Replies
14K Views
Jamaa ni kweli alipata ile 300,000 USD?
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Hello, Ali-hit na nyimbo ya chura, sahiv kaja na nyimbo inaitwa nionyeshe unavochumaga mchicha, zote zinahusu kucheza kwa kutingisha makalio. KINACHONIPA MASHAKA: Huenda akawa ni mdau wa kuliwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kabla hajawa kiongozi wake, awali aliwahi kumtamani kimapenzi mcheza filamu Wema Sepetu Lakini alighairi baada ya kugundua ni mwanamke wa...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Tuzo kubwa nchini Nigeria(Neaawards) wamemtaja diamond platinumz katika kipengere cha msanii bora wa afrika nje ya Nigeria. Upigaji kura utaanza hivi punde tuanze makamuzi#Neaawards. Sent from my...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Anyone mwenye hili jisong la simpi kiki kunguni wa mwendokasi naomba anitumie tafadhali
0 Reactions
19 Replies
5K Views
WASAFI na Gigy money ni marafiki wa karibu, gigy money alishasema live kuwa anamkubali Diamond Platinumz zaidi ya Alikiba. hivi karibuni gigy alitembelea studio za wasafi na kupost video...
2 Reactions
97 Replies
18K Views
Wasalaam wana jamvi. Mama wa msanii Alikiba ameweka wazi leo kuwa msanii Alikiba alijulikana kama ana kipaji cha muziki baada ya kuzaliwa akiwa na siku saba... Akielezea jinsi ambavyo walijua...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Kwanza kabisa nikili wazi sipo kwa ajili ya kumkandia le mutuzi kama anavyojiita ila nipo kuangalia ni ethical mtu kupiga picha msibani na kuweka mapozi ya ajabu ajabu? Wadau naombeni mchango wa...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Muda mfupi tu uliopita ' Msanii ' wa Bongo Fleva Linex wakati akiwa ' anahojiwa ' katika Simu na Watangazaji wa Kipindi ' maarufu ' cha SHILAWADU juu ya ' deni ' kubwa la Tsh 943,000/ analodaiwa...
2 Reactions
65 Replies
10K Views
WAZEE WA KIMASAI WAMJADILI LOWASSA risasi mchanganyiko Aidha, wazee hao wapatao 90 wamejadili pia kuhusu mkanganyiko uliopo ambao baadhi ya watu humchukulia waziri mkuu huyo aliyejiuzulu...
0 Reactions
34 Replies
23K Views
kwa aina ya nyimbo anazotoa kWa sasa unatoa picha kuwa kipindi cha nyuma alipokuwa anatoa nyimbo Kali na za kusisimua alikuwa anatungiwa na mtu/ watu. Tunaomba kwa mtu aliyekuwa akimfanyia kazi...
7 Reactions
41 Replies
7K Views
Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake...
1 Reactions
63 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…