Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mungu awaongoze...
4 Reactions
90 Replies
22K Views
Aisee Africa sasa ukicheki video za nyimbo mpya aisee wadada ni wapo nusu uchi mwanzo mwisho hadi ukiona chart za afrika kwenye tv stesheni unatoa fasta. Zipo video nyingi ambazo hazijakaa poa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Pamoja na wapenzi wote wa hili jukwaa la Celebrities Forum. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Baada ya Serikali kutangaza kuondoa kodi ya Road licence...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mwanamke aliyezalishwa na Ney Wa Mitego kisha kutelekezwa ambaye ni maarufu kwa jina la Sister Fei amlillia Diamond Platnumz na jopo zima la Clouds media akiomba apewe msaada wa pesa ili...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Habarini Wadau Hivi huyu jamaa aliyekuwa akiigiza kama Mlevi haswaaa aliyekosa balance..! Amepotelea wapi?
1 Reactions
16 Replies
4K Views
8 Ndgu zangu wana Jf, nawasalimu kwa jina la *Tanzania ya viwanda*,hit maker wa muga cherere mr Qboy msafi hivi karibuni aliondoka na kuachana kabsa na kundi la WCB na kuanza kufanya zake nje ya...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Kwanza kabisa nakupongeza sana kaka kwa kazi nzuri sana, pia mimi nishabiki wako kwa kiwango cha lami. Sasa najiuliza kwanini umeachia video tatu kwa wakati mmoja( Fire, I miss you na Eneka) zote...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Rob analalamika kua chyna hajatulia na kila mara analala na wanaume tofauti. Hebu jionee hapa sijui ni kiki watajua wao. So Rob anamwaga maubuyu tu kwenye akaunt yake. Mengine jisomeeni...
6 Reactions
165 Replies
20K Views
Hi guys, Bcoz of unknown reasons mm nahis Ben pol kama vile hayupo comfortable ku-date na ebitoke sababu nikiangalia body language ya benpol haiakisi kufuraishwa na uhusiano wake na ebitoke...
4 Reactions
72 Replies
11K Views
Wasalaam wana jamvi. Bila shaka hakuna ubishi kabisa moja ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha muziki na tasnia ya muziki wa kizazi kipya hatuwezi kivisahau...
10 Reactions
136 Replies
19K Views
Msanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea...
2 Reactions
88 Replies
24K Views
MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa EFM Radio ya jijini Dar es Salaam, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma (31) unaagwa leo katika Viwanja vya Leaders vilivyopo Kinondoni, Dar ambapo baadaye...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
In Summary For the past 5 years most Tanzanian artists, like other artists worldwide, have used YouTube as a platform to distribute their music. YouTube is the largest video-sharing site where...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wambeya wanasema kuwa urafiki baina ya Ali Kiba na Barakah The Prince unadidimia kwasababu ya bifu kati ya Baraka na Ommy Dimpoz. Inasemekana kuwa ukaribu wa Dimpoz na Ali Kiba umechangia...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....??? Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
0 Reactions
62 Replies
18K Views
Ningesema walichonifanyia nilivyotekwa, hakuna mtu ambaye angetaka kuwa karibu na mimi tena.-Roma Katoa kauli hii akihojiwa na EATV,Wataalamu ebu ongezeeni nyama hiyo kauli ya Roma"Tafakuri"
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Katika Wimbo wake kila mara nimesikia akitaja ' mafanikio ' mengi ya Mwanaume ila kila mara anasisitiza tu kuwa Mwanaume ' Mashine '. Sisi wengine ni ' Wageni ' katika nchi hii na hatukijui vizuri...
2 Reactions
60 Replies
15K Views
Ni wiki sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Msanii mkali anayetamba na hit song mbali mbali kama nyonga nyonga chin bees amemujibu mkali wa ilala chid benz kuwa aache kumufata fata na kumufatilia na ajali maisha yake mwenyewe Chin bees...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ziara ya wasanii wa filamu imeleta gumzo mjini hapa palemabinti wa filamu walipokuwa na muda mwingi kuwaliwaza wenyeji wao wabunge hasa baada ya mpambano mkali wamechi katiya wabunge na wasaanii...
2 Reactions
93 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…