Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kweli mjini mipango! Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amefunguka kwa kusema kuwa baada ya kusambaza mtandaoni picha zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu na mng’ao wa mafuta, sasa amepata dili ya kuwa...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Weusi, Nikki Wa Pili amefunguka kuzungumzia changamoto zilizopo katika platform mbalimbli za kuuza muziki nchini. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Tanzania ukiwatizama mastaa wetu [Celebrities] unagundua wengi wana vipaji vikubwa sana ila wamekosa maarifa na adabu ya utashi . Mastaa wetu wanawekeza zaidi kwenye muonekano na kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Baada ya Jana kuwepo katika chuo kikuu Cha Nairobi, Jana amefanya performance yake akiwa Nairobi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo Zari ambaye alikuwa ni mpenzi wa IVAN, ameuzuria kuuaga mwili wa Ivan huku akiwa na wanawe.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndani ya miaka 5 she has done so much more than any celebrity in Tanzania kwenye jamii. Naomba nihamishie upepo kwake kwa shukrani zote kwa yote aliyoyafanya kuinyanyua jamii ya watanzania na...
2 Reactions
68 Replies
16K Views
Baada ya maziko siku ya Jumanne nchini UGANDA ya aliyekuwa mume wa Zari. Mwanamama huyu ataanza kazi rasmi ya kusimamia na kuendeleleza vyuo na shule zilizoachwa na Ivan. Kaka wa Ivan na aliekuwa...
13 Reactions
50 Replies
12K Views
Ni msanii wa RnB ambaye huwa namuita mchawi wa Melodies na chorus...mm ni shabiki yako wa mstari wa mbele ambaye napenda kukushauri na kukujenga bila kuchoka...usipozingatia haya kima kinakuja...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Washkaji zangu wawili wa maskani wanafuatilia kupata passport ili wajichanganye bondeni kwa Madiba kwenda 'kuchukua maisha'. Leo wakadondosha apdeiti maskani kuwa ni mwezi mzima sasa wanazebezwa...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Amewaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi na kutupia picha zao mtandaoni, Kasema mtu hakatazwi kuvaa uchi ila inategemea unaenda wapi, mfano kwenye harusi unavaa nguo fupi ili iweje?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Tiger Woods has been arrested on DUI charges in Jupiter, Florida. The golfer was stopped by cops early Monday morning for driving under the influence of alcohol or drugs. He was taken in around 3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kabla ya kifo chake Ivan THE DON alikuwa na utajiri wa hatari pamoja na kumiliki majumba ya kifahari na magari ya bei kubwa sana. Akiwa bado hai alisaidia watu wenye shida kwa kuwapa Fedha na vitu...
0 Reactions
50 Replies
19K Views
"Toka aliyekuwa mume wa Zari kufariki, familia ya Ivan imeingia kwenye vita kali na Zari baada ya kusema kuwa yeye ndio amesababisha ndugu yao akaishi kwa depression kwa muda wote huo. Tazama...
4 Reactions
121 Replies
24K Views
Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi...
0 Reactions
72 Replies
15K Views
Hii ndio kazi mpya ya Benpol aliyokuwa anaitangaza kupitia picha za utupu wake. Anasema ile ni sanaa alikuwa anajaribu kuipa uhalisia. Vipi amefaulu au amefeli?
1 Reactions
50 Replies
13K Views
Kiukweli naomba mwenye info za kutosha za huyu jamaa atuambie anapiga ishu gani za kuingiza kiasi hicho? Mana sio kwa mabulungutu hayo. Nakumbuka juzi kati mr diamond(nlikuja kuamini ni zari...
10 Reactions
191 Replies
42K Views
Amitabh Bacchan says..."At the peak of my career, I was once traveling by plane. The passenger next to me was elderly gentleman dressed in a simple shirt and pants. He appeared to be middle class...
36 Reactions
18 Replies
3K Views
BRIGITTE TROGNEUX Ana umri wa 64 na mume ana 39! walioana 2007! na inajulikana mwanamama aliwahi kuwa mwalimu wa Pres. Macron. ALIOLEWA NA BANKER WAKATALIKIANA... Aliolewa na mfanyakazi wa...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
-Mmoja wa wataalamu wa Sales ,PR na Marketing hapa Tanzania. -Jamaa ana kipaji pia cha U-Dj Alianza kung'ara wakati yupo Tigo,halafu akaenda Airtel kabla ya mara ya mwisho kumsikia Vodacom wakati...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…