Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Diamond Platnumz anatarajia kuhudhuria mazishi ya Ivan Semwanga, mume wa zamani wa Zari Hassan, aliyezaa naye watoto watatu wa kiume. Diamond amesema mpenzi wake huyo ambaye wana watoto wawili...
2 Reactions
80 Replies
19K Views
Je wamesomea utangazaji, uigizaji/ usanii? Sijawahi kuwaelewa taaluma yao Karibuni
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni mambo ya ajabu afisa usalama wa taifa anajiingiza kwenye ugomvi wa madada yalioshindikana ya mjini kama Mange na Sinta.Huyu afisa kaabisha kazi ambayo ni nyeti. Afisa gani wa usalama...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku amekutana na nahodha wa Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta huko Ubelgiji alikoenda kwa ajili...
5 Reactions
64 Replies
8K Views
Diamond platnumz akihojiwa na @ntvkenya alisema kama ifuatavyo. Na aliendelea kusema: Ahsante@ntvkena interview.
0 Reactions
31 Replies
6K Views
UTATA BAINA YA NASH EMCEE & FID Q Miaka kadhaa iliyopita FID Q alikua akiwaalika wasanii wanaorap hasa wale ma emcee kutoka katika utamaduni wa HipHop katika kipindi chake cha Fidstyle Friday...
3 Reactions
49 Replies
12K Views
Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
26 Reactions
415 Replies
87K Views
Nioanavyo... Kifo cha Ivan Semwanga Kimetokana na Zari..Ushahidi Huu Hapa..!!! Udaku Special 2017-05-26 Nasema haya kutokana na sababu nitakazo zihainisha hapa chini ila ukweli kifo cha Ivan...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kusema kweli kuna haka ka dada kanaitwa "Pink".....duh!!!! Mimi ningekashauri kaachane na muziki kabisa.
3 Reactions
96 Replies
12K Views
Watanzania wakati mwingine tuache mizaha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Msanii wa Bongo movie amedai yeye hana Chama ila anamkubali Lowassa na alikuwa akimkubali tokea akiwa CCM na 2020 atamsapoti tena. Amesema yeye hakua Chadema na wala sio CCM
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Unaambiwa Zari anasema yeye bado ni mke wa Ivan unaambiwa mpaka anasema huyu mtoto wa mwisho Nillah ni wa Ivan huko kwenye vikao vya familia…Lakini to be fair Zari ana haki ya kupewa mali za wanae...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Nimesikiliza ile ngoma mpya aliyo-produce ni Kali Inaitwa WAPE ameimba BONGOLOS ft ASTERI.....karibu muicheki youtube ni ngoma kali.gitaa kapiga MZUNGU KICHAA
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapo awali Zari alikuwa anaishi South Africa akijifanya kwamba kule kuna kazi zake Ukweli South kulikuwa kunatumika tu ndio njia ya mchepuko na kukutana na ivan enzi za uhai wake kwani muda...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari za Ijumaa nduguz Kuna huyu jamaa alikuwa anatangaza Kipindi cha watoto wetu cha ITV miaka hiyo ya 90's hadi 2000's. Kuna kipindi tulimuona kwenye magazeti akiwa kavalia nguo za kirubani bt...
9 Reactions
155 Replies
34K Views
By BigEyeUG Team It all started when a Newspaper advert ran showing that Ivan Ssemwanga’s house was up for sale. Then, an egoistic, charming and ever lively Ivan Ssemwanga flew to Uganda from...
8 Reactions
121 Replies
16K Views
aman iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili nina mpambano hapa nataka tumalize ubishi kati ya hawa marapa wakali chipukizi coyo mc ana ngoma kama njoo badae na ziwafikie na huyu mzee wa kulalamika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
ni kutoka Shilawadu ....yasemekana walichukua gari hilo na kwenda kupiga nalo misele, gari hilo kuonekana mahali flani ikaleta maneno kuwa zari ndio alikuwa viwanja hivyo na mfanyabiashara flani hivi,
1 Reactions
26 Replies
13K Views
Boss wa richgang maarufu kama Ivandon amelazwa hospital huko afrika kusini baada ya kupata heart attack. Huyu ni aliyekua mume wa zarithebosslady Source toka insta inasema: He had a stroke...
11 Reactions
236 Replies
47K Views
Binadam bhana,,, Hawa waandaaji na wasimamizi wa masuala ya miss Tanzania mpo serious kweli? Gari gani mmepa binti wa watu? Mbona hii dharau na kejeli? Haki ingekua mimi nisingepokea Gari imejaaa...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…