Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Daiamond amesema ni kitu poa kumtembelea kwa kuwa ni ubinadamu na hata akihitaji fedha za matibabu atampa, hajawahi kuwa na ugomvi nae ila wapambe wake ndio wanashadadia Pia anamwambia Zari aache...
3 Reactions
34 Replies
10K Views
Trump alimpenda princes Diana. Diana akamkataa kwa Sababu Trump alikuwa anatumia Maua Mara 30 kwa siku. Akaamua kutafuta mwanamke kama Diana. Mnaona similarity yoyote? Princess Diana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben. Kuna kipengele kipo kama kibwagizo kwenye wimbo mpya wa Ben Pol...
4 Reactions
67 Replies
9K Views
A SONG FOR ASSATA SHAKUR-COMMON Kama utakua umesikiliza album ya Common "Like water for chocolate" basi utakutana ngoma moja inaitwa "a song for Assata Shakur" ambayo Common alikua akimzungumzia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kamati ya Waandaaji shindano la Miss Tanzania sasa kufikishwa Mahakamani baada ya Wanasheria wa TSNP kuapa kuwa watawasaidi walimbwende walioshika nafasi ya 2,3 na 4 wa mwaka 2016 kulipwa pesa...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Wakuu leo nataka tumalize ubishi kuhusu hawa vijana machachali wanaosumbua kwenye anga ya muziki kwa kutoa hit songs kila kukicha . Nataka tumalize ubishi unaondelea kati yao maana kila mmoja kwa...
2 Reactions
157 Replies
42K Views
Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu, Kutokana na maelezo ya mkuu wa mkoa Leo katika kipindi cha MBIVU NA MBICHI Rc wetu huo (jina mnalijua) amekiri kuwa hawa jamaa au pale ndani palikuwa ndo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujuawaliko hawa watu Yuko wapi bishanga bashaija Yuko wapi nyamayao Yuko wapi kibakuri Yuko wapi kiroboto Wapi jeby Wapi joslini Yuko wapi back rhino Yuko wapi abdalah husen alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tangu Diamond Platnumz azindue mtandao wake wa kuuza nyimbo online (Wasafi.Com) kitaani kumekuwa na story kuwa Diamond hana maelewano mazuri na mitandao mingine ya kuuza ngoma online. Diamond...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauliza tu jamani maana Nina Siku kadhaa sifiki ofisi za Lumumba. Huyu mwenzetu kashaanza kazi hapo? Au yuko kwenye operations za mikoani? Naomba tujuzane alipo Hutu mwanadada mahili
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Wasalaam wana jamvi. Baada ya Ben pol kutoa wimbo na watu kupata wasaha wakuusikiliza. Msanii mwenzie ameibuka na kusema kuwa ni upumbavu mtupu... Nami naungana nae kusema ni upumbavu mtupu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Bwana Jb na Ray kigosi ni kweli majuzi mmlikuwa mwanza na Bashite????kwamba wewe Jb ndiye mhamasishaji wa wasanii kupost mambo ya bashite mtandaoni? Ni kweli kwamba yale madai ya Rais wa Taff ya...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Moja ya picha zilizopata comments nyingi Instagram siku mbili hizi ni picha za mwimbaji wa RNB Tanzania Ben Pol ambazo zilimuonyesha akiwa hajavaa nguo. Nay Wa Mitego aongelea swala hilo.
1 Reactions
10 Replies
8K Views
hello, huyu jamaa alipata phd akiwa na miaka 26, hlf anahoji watu mbali mbali wazito katika kipindi cha uongozi kinachorushwa itv. Huyu jamaa ni intellectual hlf ana personality flan hiv amazing...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Kampuni ya Burudani Tanzania WCB iliyo chini ya mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki, leo inatarajia kutambulisha msanii wao mpya. Kampuni hiyo kwa sasa ina wasanii kama Diamond...
0 Reactions
50 Replies
14K Views
Baada ya kutoka kwenye matangazo kwenye kipindi cha Clouds 360. Mtangazaji Baby Kabae akikaribisha alisema karibuni tena Sta.. then akarudi kusema Clouds 360. Kweli kilichomjaa mtu ndio...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Ney wa Mitego amedai yeye haimbi siasa ila anaimba mambo yaliyopo kwenye jamii, na mbunge au waziri au rais ni sehemu ya jamii
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu mtangazaji wa Clouds TV, Sielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu...
13 Reactions
318 Replies
73K Views
Msanii kutoka Moro Town, Stamina amesema haoni tatizo msanii wa kiume kujichubua kwani mtu huyo kabla hajawa msanii alikuwa kawaida ila baada ya kuwa msanii unakuta anachora tatoo na kuvaa hereni...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…