Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja Bila kumumunya maneno hawa madogo video...
7 Reactions
175 Replies
17K Views
Wakuu, Nisaidieni kujua huyu mama Terry kwa sasa hivi yuko wapi? Na nini kilitokea mpaka akapotea kabisa kwenye publicity. Nawasilisha...
0 Reactions
169 Replies
39K Views
Wakuu hii kapo ya watoto wa kimakonde kutoka mtwara mnaionajee? Wamependeza au hawajapendezaaa?? Harmanaiz na Wolpa au Harmonaiz na Isabella ipi kapo iliyotulia hapo?
2 Reactions
132 Replies
30K Views
Wakuu, Kama inavyojieleza hapo juu, nimefanya uchunguzi na kupekua kweli kila mwanamuziki wa kike ukanda wa Afrika mashariki na kubaini uwepo wa mwanadada kutoka Kenya mwenye mvuto wa aina yake...
8 Reactions
141 Replies
26K Views
Mwanadada Wema Sepetu, leo amepandishwa Mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili, ya matumizi ya mihadarati aina ya bangi. Wema ameambatana na meneja wake, Martin Kadinda, mama yake mzazi, na...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Hii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga...
27 Reactions
178 Replies
33K Views
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es Salaam. Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 (zamani yalikuwa yakitumiwa na BBC). Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Anaitwa Juma Kassim wale watu wazee tunaofia rap "isiyo ya kukopi" yenye radha ya "rap katuni" tunamuita Sir Juma Nature Kiroboto "Mwanaume Halisi' Kijana huyu ana historia nzito sa a kwenye game...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Sakata hilo linaweza kuibua mjadala miongoni mwa waumini wa dini ya Kikristo ambayo pamoja na kuruhusu ndoa kuvunjika, ni nadra sana kwa makanisa kuidhinisha suala hilo. ============= Flora...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava 1. Prof Jay 2. A.Y 3. Juma nature 4. Alikiba 5. Diamond
12 Reactions
175 Replies
17K Views
Najua wengi katika maisha ambayo tumekuzwa kwa hii stail ya kupatia pesa katika familia ni hii hapa. Je hapa ni wangapi wamewahi kuchochoa huu mtambo? Dondosha jinsi ya kuset mtambo huu
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa lake la kumuabudu Mungu. Amedai kuwa kanisa lake litakuwa si la biashara, bali la kumuadu mwenyezi Mungu aliye hai. “Acha kanisa likamilike, mwenye Mungu...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Nilikuwa shabiki wake kwa kufuatiia mitkasi ya maisha yake ya majuu, na nilikuwa nahangaika kutaka kujua uzima wa akili yake mpaka sasa bila mafanikio sijui ni crazy bald au ilikuwa ni over...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
kwakweli mimi naiunga mkono serikili hii kuhusu madawa ya kurevya mana imekuwa shinda kwa vinjana mimi najiuliza tunazaa watoto wa alina gani mana kila mtoto akikua anajiinginza kwenye madawa ya...
0 Reactions
4 Replies
806 Views
hakika hakuna kitu abae sipendi mambo ya kejeli zalau
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
16 Reactions
152 Replies
57K Views
Wakuu huko instagram kuna binti anajiita happy77, kumbuka namba77 inavaliwa na mshambuliaji kutoka Tanzania anayeichezea Genk ya ubeligiji (samatta) lakini nimeshangaa katika post nyingi za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila mmoja wetu anajua fika muziki wa live unavyo vutia na kufurahisha na bila shaka kama kweli msanii atajiandaa na ataishi maisha ya kuimba live atapiga pesa...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Jana nyota wa Tanzania na Mshindi wa MTV EMA african act 2016 Alikiba alianza world Tour yake kwa showJijini Durban South Africa. Kiwango cha idadi ya watu waliojitokeza na ukumbi aliofanyia show...
6 Reactions
139 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…