Wema Sepetu anataka kuweka jambo moja ‘very clear’ kuwa yeye si mtumiaji wa madawa ya kulevya.
Staa huyo ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwenye orodha ya mastaa wanaotuhumiwa kubwia unga na...
Nimeshangaa sana,kumbe leo ni siku ya kuzaliwa Kalapina, nabii Koko, Kikosi cha mizinga, mwanaharakati, hiphop bila madawa, 'mbunge' wa Kinondoni, asiyehusika na shoo ashuke, block 41, mbabe n.k...
Muigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya...
Kwa wale wapenzi wa tamthilia bila shaka huyu kijana si mgeni machoni penu ,swali je mnakumbuka?
Kama unamkumbuka embu nitajie ameigiza tamthilia ipi na kama nani?
Je kwa sasa yupo wapi, hivi...
Msanii diamond platnumz na lebal yake ya WCB wamelipwa dola milioni 1 sawa na Tsh.bilioni 2 na campany ya Universal Music Group ili kusambaza nyimbo zao kote duniani kote.
Diamond asema ndo...
Wanabodi habari, Huku mtaani nilikuwa nikipita mtaani nasikia vijana wa wenye makompyuta yao mtaani wakiupiga wimbo huu mpya, but sikujua ni nani kauimba. Basi leo nikapita mitaa fulani Sinza...
Lulu amepigiwa simu na kusema mtu huyo hamjui na hakuna hata ishara moja ya kufanana nae, na hata mpenzi wake alivyoiona hakusema kwa kua sio ya kwake kwa kuwa kile alichokiona kwenye video sio...
Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa...
Msichana Aliebadili Jinsia Kuwa Ya Kiume Atarajia Kuoa
Kieran Moloney Kwa Sasa Ni Mvulana Ambae Hapo Awali Alikuwa Msichana Aliejulikana Kwa Jina La Ciara ,Alipofika Umri Wa Kuanza Shule Ya...
Nilikuwa napita huku na huko katika mitandao,hatimaye nikakutana na maisha ya uvaaji wa nguo za mmiliki wa mtandao wa facebook MARK ZUCKEBERG.Huyu jamaa ametoa picha ya kabati la nguo zake,na...
Mimi nimekaa nimefikilia nikakosa Jibu....kwa show ilivyo kuwa ya Amsha Amsha vile, na hasa pale walivyofanya Diamond Mohombi na Mwenzie....Angekuwa Alikiba Angeperform wimbo gani Eti?
Nauliza...
Yule mkali wa miondoko ya hip hop na producer namba moja aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma P-funk majan amedai Fid q ndo mc namba moja dunian kote yaan hakuna zaid ya Fid q
Wawili hao ambao...
Rapper mkongwe kutoka A Town, Joh Makini akiwa anawakilisha Weusi, amewatolea uvivu vingozi katika tasnia ya sanaa hapa nchini.
Mkali huyo wa ‘Waya’ amezungumzia juu ya kukosa sapoti kutoka...
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi...
Je kuna ulazima mabinti walimbwende mnaitaga ma Miss ni lazima wawe wembamba na wamedhoofu afya zao?? Maana namwona Miss Tz 2016 Diana Lukumay akiwa amedhoofu. Kwani sifa ya kuwa miss Tanzania...
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.
Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
Ni kweli unakipaji cha mziki lakini kwa Diamond bado sana yaani uwezo wako ni mdogo mno hata haufikii nusu ya robo ya uwezo alionao diamond . Diamond yeye ni msanii wa kimataifa hilo lipo wazi na...
Habari zenu Brothers and sisters in Humanity.
Hakuna asiefahamu tukio lililotekea hivi majuzi huko Bukoba,watu mbali mbali wamejitokeza kutoa michango yao kuwasaidia wahanga wa Tetemeko.
Cha...