Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

watu bana Mwezi Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) aitwaye Harmonize...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi...
5 Reactions
78 Replies
14K Views
Enjoy ngoma mpya kutoka kwa christian Bella. Ngoma nzuri sana hii good music Ollah
5 Reactions
19 Replies
6K Views
Nakumbuka siku za karibuni huyu jamaa alipokuja na nadhalia yake ya maji kuwa ndiyo siri ya ngozi yake kuwa nyororo na inayovutia, wengi walimbeza na kumkejeli, na wengine wakaenda mbali zaidi...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Nacheki post kibao za 50 kwenye instagram dizaini kama ana mdisi sana floyd....kuna moja kamuambia "floyd una sema f@ck 50,TI and nelly wakati nelly kamgonga mama wa mtoto wako wa kwanza na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kumkwapua Juma Mussa Mpolopoto ‘Jux’ aliyekuwa mpenzi wa modo Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Cliff’ kisha modo huyo kufungwa kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, mtoto mzuri wa...
3 Reactions
21 Replies
10K Views
Kila mtu anakitu ambacho anakihofia zaidi maishani kwake. Kwa upande wa Ommy Dimpoz anachokihofia zaidi ni kusutwa. "Kwa maisha ya kawaida naogopa zaidi kusutwa yaani mile neno la huku na huku...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Niungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule. Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema...
1 Reactions
131 Replies
18K Views
Mkali wa WCB harmonize amejigamba kuwa yeye hufiti style zote za diamond za kuimba na kucheza katika mziki. Mkali huyo amesema hayo kutokana na watu wengi kumkejeli kuwa huwa anapenda sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Siku hiz huyu jamaa ambwene yesaya anafanya musik wa aina gan zaman alikua mwana hip hop siku hiz ana radha mpya ya music sijajua ni aina gan ya music anafanya Mwenye kujua muzik anaofanya huyu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika uchunguzi nilioufanya nimegundua kwamba maprodyuza wengi (karibia wote) wanavipaji vikubwa sana vya kuimba, na endapo wataamua kuingia kwenye tasnia ya uimbaji basi hutoa Hitsong kali sana...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Jyoti Amge ndiye mwanamke mfupi kupita wote duniani. Amezaliwa december 1993. Nina hakika ndiko ilikotoka Joti Hammy J Jyoti Amge Amge in 2013 Born 16 December 1993 (age 23)[1] Nagpur...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
Habari wakuu wa jukwaa kuna hawa wasanii mimi huwa sielewi wanafanya music wa aina naomba mwenye kujua anisaidie Linex Mwana fa Baba levo Hamonizer Dudu baya Nay wa mitego Quik laka
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Top 3 Illusionists so far 1. Harmo Rapper 2. Lepipoz 3. Diva
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee. Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet...
3 Reactions
59 Replies
13K Views
Rapa AY amefunguka na kusema kuwa toka mwaka 2006 mpaka sasa hakuna rapa ambaye ameibuka na kuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini. AY amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio...
5 Reactions
78 Replies
47K Views
Hilo ni swali langu wakuu wa nyumba hii kwanini hawa wasanii wa mwanza hupenda sana kuchanganya kisukuma kwenye nyimbo zao kinawapelekea kufanya hivo au ndo kuendeleza ukabila COYO MC huyu ni...
0 Reactions
48 Replies
15K Views
Inakuwaje wakuu, Yule bibie asiye na rashda wala kashda tayari ameshatangaziwa nia.....
2 Reactions
67 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…