Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya tetesi za kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya kundi la Yamoto Band kwa muda yaliyosababisha kutoachia kazi mpya, mmoja ya wasanii wanaounda kundi hilo Enock Bella amefunguka na kudai...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Ni kipi ungependa kujua kuhusu msanii Unaye mkubali jee unamjua
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Jamani mkali wa miduara imekuaje akawa kimy
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
0 Reactions
153 Replies
46K Views
  • Poll Poll
Salaam Wakuu. Wasanii maarufu na wenye mashabiki Lukuki hapa nchini, ambao wamekuwa katika upinzani mzito wamekutanishwa kwenye Tangazo la shirika la mafao la NSSF. Wasanii hao Nasibu Abdul...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
1. Juu - (Jux & Vanessa) 2. Feel Good ( Nahreel & Aika) 3. Umeniweza ( Izzo Busnez & Abela Music)
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Na kumwembe Chid Benzi anatushangaa tunavyomshangaa Na Edo Kumwembe NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu...
21 Reactions
456 Replies
60K Views
1. Joh makini 2. Nikki wa pili 3. Izzo biznes 4. G nako wara wara 5. God zilla Kwa upande wng ndo hao...cjui kwako?
3 Reactions
98 Replies
7K Views
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msanii wa muziki singeli Man Fongo amesema anakumbuka alipoanzia muziki wake kwa kuimba nyimbo za vigodoro uswahili na ipo siku atarudi uswahilini kuwaimbia mashabiki zake. Akiongea kupitia eNewz...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Inadaiwa ni dogo anayeimba RNB ila sijui anaitwa nani..
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Ukitaka hip-hop kamili nenda mwanza Kutoka young killer , Fid Q ndiye wa kwanza Wanasema mamilionea feki wanatokea Arusha Rest in peace kwa watakaozusha. Mjini ngono inalipa kuliko uprofesa Elimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbaka sasa,sijasikia chochote kutoka kwa msanii wa singeli man fongo najua alitoa nyimbo lakini nilitegeme atatoa nyimb nyingine yakuizidi haina ushemeji ila mpaka.sasa kimya na huu mziki nao pia...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari wanaJF Kuna jambo Fulani huwa linanijia kichwani pale ninapoona wabunge machachari ambao pia walikuwa wanamuziki na wengine bado wanaimba muziki. Najua kupitia uzi huu tutawajua wengi na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Instagram kumechafuka, yani watu wanatukana wanavyojisikia, hawaogopi kitu chochote kile. Matusi hayo yamemkuta kajala, katukaniwa mtoto wake hadi kashindwa kukaa kimya. Hiki ndo alichokiandika...
0 Reactions
67 Replies
45K Views
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na...
3 Reactions
132 Replies
39K Views
  • Closed
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa...
2 Reactions
104 Replies
17K Views
Kwa wale wadau wa mziki hapa nazungumzia lile kundi la watu ambao wanapenda mziki mzuri haijarishi Ile tarabu, sengeri nk nadhani watakuwa wameona upepo ulivyobadilika tangia mwishoni mwa mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…