Hivi ile tour ya msanii wetu ambaye ni kipenzi cha watu aka king kiba itakuwepo kweli au zilikuwa kiki za msimu maana sioni mwamko au mapromoter wamelala mbele wanaogopa hasara maana nyimbo...
Naomba kufaham wasanii au watu maarufu waliomsapoti Donald
Trump wanaoishi USA ,maana wasanii wengi walimsapot Hillary Clinton na kusema "im with her"
Natamani kuwafaham tu nijue maana wa huku...
Huyu dogo kwenye huu wimbo wake mpya 'Mazoea' amethibitisha kwamba sio msanii wa nyimbo mbili, ni HITMAKER yaani bumper to bumper. Huu wimbo wake unafungua mwaka vizuri, japo naona kama mfupi...
Baada ya kuomba kolabo na mwanadada huyo na kuishiwa kutoswa baada ya Vanessa kusema hamjui, Timbulo baada ya ngoma yake aliyoshirikiana na Baraka inayoitwa usisahau kufanya vizuri amesema...
Ningependa kujua hata kidogo historia ya huyu msanii....nimeanza kumsikia miaka ya 2003 na ngoma yake kali sana aliyowashirikisha mandojo na domo kaya___kazi yake mola
Habari za kusikitisha kutoka chini ya uvungu huko huko WCB zasema, ule mkosi wa kusainishwa international uliomkumba Davido mpaka kupelekea kumfukuza Meneja wake, unanukia nukia WCB.
Kwa habari...
Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka...
Nimekaa sehemu hapa, zinapigwa nyimbo za Timbulo, let's be fair for a while, Timbulo has percuriar way of singing, hafanani na msanii yeyote yule, kuna watu wanamdharau na kumchukulia poa.
Kuna...
Sasa uyu darasa amekusanya kijiji cha mashabiki we mziki.....ila leo namtupa mikononi mwa simba tuone kama atabaki SALAMA mbele ya mnyama uyu wa kigoma toka msitu wa gombe.....
Wewe mfurukutwa wa...
Tarehe kama ya leo mwaka 1968, ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa mwanasiasa na mwanasheria nguli Mheshimiwa mbunge Tundu Antiphas Lissu.
Nitumie nafasi hii kumtakia miaka 100 zaidi na kila la...
Zahara alikuwa dhaifu, mwenye utapiamlo na aliyezungukwa na umaskini wa hali ya juu katika familia yake.
Akiwa na miezi 6 tu, Angelina Jolie aliingiwa imani na kuamua kumchukua na kumuasili...
Prodyuza mkongwe wa muziki nchini, P-Funky 'Majani' kakinukisha kwa Jose Chameleon kisa ni wimbo wake wa Bomboclat kutumika kama soundtrack kwenye movie ya Lupita Nyong'o iliyoshootiwa Marekani...
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK aka ‘Fundi Mitambo’ ametangaza ujio mpya wa tamasha kubwa la Diamonds Are Forever 2017 ambapo safari hii litafanyikia katika uwanja wa Taifa.
Muimbaji huyo...
STAA wa Filamu Bongo , Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ' Ray ' , akaeleza kuwa , hakuna ukweli wowote juu ya hilo. Chuchu alifikia...
Muda si mrefu nimeona Daz Baba akihojiwa kwenye kipindi cha weekend chartshow, kwa jinsi nilivyomuona ni tofauti na nilivyokuwa nafikiria kutokana na picha zake nilizoziona zikisambaa mtandaoni...
Msanii Hamad Ally anayetuhumiwa kuiba simu amesema mtu anayedaiwa kumpora simu alimlipa hela ya kufanyia video lakini akawa hana vifaa na shida ndipo ilipoanzia amesema yeye hela yake haipotei na...
Mtanzania anayejuana na mabilionea wengi kuliko Mtanzania yoyote yule nchini lakini bado anakaa kwa mshua na hata hajawahi kununua luku amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa kufanya...
Msanii Ditto aliyeimba wimbo wa Moyo skuma damu, anadai kiutaalam moyo kazi yake ni kusukuma damu pekee na mambo ya hisia za kupenda uchungu, hasira na mengine sio kazi ya moyo bali kuna sehemu...