Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwana Fa amadai kwa sasa muziki wa ma group hauwezi kulipa tena kutokana na hali ya uchumi wa muziki kwa sasa, ametolea mfano wa ma group ya muziki ya Marekani waliyokuwa wameyaiga kama D12...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR. This is a non-Nigerian award category for an individual African artiste or group with the most astounding endeavors especially in penetrating the Nigerian Music...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna harusi 2 tumealikwa moja Mombasa nyingine Tannga. Kwa Mombasa lakini nahitaji walio wenyeji au waliowahi kwenda kule wanipe sifa za kule na sababu zipi zinafanya wanawake wa kule kupenda...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
yuko stegini anafanya yake,heko sana baba tifa.
6 Reactions
77 Replies
12K Views
Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu kumekuwa kuna video ya kwichi kwichi inayodhaniwa kuwa ni ya mtoto wa kajala masanja Katika video hiyo inaonekana binti mdogo anayeugulia kipigo cha paipu ~Kajala akanusha Kajala masanja...
10 Reactions
171 Replies
75K Views
Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama...
9 Reactions
191 Replies
27K Views
darasa anatoka mkoa gani
0 Reactions
38 Replies
44K Views
Mwanamuzi Davido amempiga chini Manager wake wa Siku nyingi Kamal Ajiboye na kuamua kujisimamia mwenyewe. Kupitia Snap chaty Davido alitoa taarifa hizo tangu asaini dili ya bilioni 4 na Sony...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Siku sio nyingi tangu story za jamaa aliyefananishwa na mwimbaji Harmonize zisambae kwenye mitandao ya kijamii. Akiwa kama msanii aliyepewa jina la Harmorapa kwakuwa yeye ni rapa na sio mwimbaji...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Waziri wa sanaa na michezo Nape Nnauye amesema anahisi mashabiki wa upande wa Ali Kiba ndio walikuwa wakiponda kuhusu Diamond kupewa bendera kwa sababu kumekuwa na uhasama na chuki kati ya pande...
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote...
10 Reactions
67 Replies
11K Views
Kuna kipindi nilisikia sikia kuwa jamaa amezama kwenye madawa ya kulevya huko Moro hadi hajielewi lakini yeye mwenyewe alikuja kuhojiwa na Millard Ayo akakana kuwa hatumii kabisa madawa,....lakini...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Inasemekana kuwa Vanessa Mdee ameingia kwenye bifu na wasanii wa WCB kisa wimbo wa kijuso accoring to shilawadu Vanessa alikuwa ameingiza vocal kwenye nyimbo hiyo ila WCB wakatoa sauti yake na...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini. Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February...
1 Reactions
49 Replies
13K Views
Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amefunguka na kuzungumzia kitu alichojifunza kutoka kwa msanii Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wasanii wenye...
9 Reactions
34 Replies
7K Views
Kati ya hawa wasanii nani atamjibu dogo na kukubali kuwa demu wa Young Killa au akae kimya kuonesha anamuogopa Young Dee Dogo Janja JoH Makini Baraka Da Prince G Nako Mondi nk?
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Mama Diamond leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amuonesha hawavumi lkn wamo. Ni baada ya kutupia kijivideo flan hivi amaiziiiiiiing ambapo mwenye anaonekana ametupia kiblauzi kimoja matata na...
5 Reactions
65 Replies
10K Views
Umofia Kwenu wana JF, Hiyo ni statement aliyoitoa msanii Fidq wakati akigongesha taya na Dulla Plannet wa E.A Radio wakati akijibu swali kwanini Video zao za wana HipHop hazina View Nyingi na...
13 Reactions
65 Replies
8K Views
Jamaa hiki kipindi ni kizuri lakini hana mpngilio mzuri Kazi kupiga kelele tu na kushika madem wa watu viuno
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…