Msanii Lumino kutoka Congo amewakutanisha tena wakali wa muziki Africa Diamond na Davido ambao baadhi ya mashabiki wanaamini 'hawawivi' kama zamani, awali huo wimbo unaoitwa 'Rockonolo' uliimbwa...
Sometimes back kilinuka mitandaoni kuhusu yule mpenzi wa ice Prince ambaye Shilawadu alianika siri yake ya kutoka kimapenzi na mzee flani milionea. Kilichonishangaza kwanini huyu msichana...
Kupitia Millard Ayo exclusive, hit maker wa bongo flavour akiri kuwa waziri fulani wa nishati alikuwa anammegea demu wake na wakati huo huo alikuwa anampa tenda za kuimba nyimbo za kupromote umeme...
Dancer wa Diamond, Mose Iyobo amesema kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi na Aunt Ezekiel kumemsaidia mambo mengi katika maisha yake.
Akizungumza na Bongo5, Mose amesema hasa hasa amenufaika sana...
Huyu Actress aliyecheza movie ya X-Men: Apocalypse, namfananisha sana na Chemical yule mwanamuziki wa kikie wa Hipo hop wa bongo fleva.
Mcheza movie huyu wa Hollywood anajulikana kwa jina la...
DAVIDO WA NIGERIA NA DIAMOND WETU WAPO GABON HUKO .ILA SIJAONA SEHEMU WAMEPIGA PICHA PAMOJA NA SIO JAMBO LA KAWAIDA KWA DIAMOND KUTOKUONESHA MASHAUZI YAKE AKIWA NA WATU KAMA HAO. ZILE SHUTUMA ZA...
Kauli hakuna marefu yasiyo name inchi, au yenye mwanzo yana mwisho walioitunga wanastahili pongezi leo mda si mrefu nasikiliza E fm nimesikia wimbo wa nakupenda tu by dudu baya hasa hasa ule...
Kumekuwa na sitofamu katika mitandao ya kijamii kuhusu ni nani anastahili kukabidhiwa bendera ya Taifa ili kuwakilisha nchi, baada ya Diamond Platnumz kukabidhiwa bendera ya Taifa jana na Waziri...
Joh Makini, Nikki wa pili na G.nako wakihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wamezungumzia suala la kubebwa alilodai Young Killer
Joh Makini yeye hakutaka kulizungumzia kabisa na...
Msanii wa Bongo movie aunt ezekiel amedai bongo movie bado ina uhai ila soko limedorora kidogo, lakini kudorora huko ni kutokana na watanzania kutopenda vitu vya kwao
Amesema ni bora kununua bongo...
Muigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu,
Gabo Zigamba ameujia juu mtandao mmoja wa
Kenya ambao umedai kuwa yeye ni raia wa Kenya. Mtandao huo uliandika stori yenye kichwa cha
habari...
Nimekuwa mshabiki na mfuatiliaji wa muziki wako kwa muda mrefu sana sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zako hata siku.
Ulivyotoa huu wimbo wa sinaga swaga nimeusikiliza kama mara 10 hivi...
Vanesa Mdee:Amefunguka kuwa anahitaji kuigiza filamu na tamthilia.
Chanzo cha Hsbari:East Africa Television.
My Take.
Sijui kwanini huyu mdada mziki haumlipi au?
While akina Shilole wanatoka...