Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Alianza Simba Diamond Platnumz, mara Rayvanny, Harmonize na Mavoko wakatia timu pande zile na week hii kaibuka wakuitwa King Kiba nae anaanza tour Ulaya na Marekani na mpaka muda huu Malaika wa...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Mchumba wa Lady Jaydee kutoka Nigeria amesema anaitwa Spice kutoka Nigeria amesema yeye ni mwanamuziki na wanampango wa kufanya mambo makubwa na ady Jaydee ambayo hakuyataja ila akasema watu...
1 Reactions
83 Replies
14K Views
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa. Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa...
18 Reactions
66 Replies
7K Views
Baada ya Wimbo wa Muziki kukonga mashabiki wengi hapa nchini, mashabiki wa muziki nchini Kenya wametoa kilio chao na kuomba Darassa akafanye show nchini mwao. Msanii wa muziki nchini Kenya...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Inasemekana kalipa mahari thanamani ya shilingi milion 4 kwa tz,
1 Reactions
103 Replies
22K Views
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili, - Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi -...
16 Reactions
163 Replies
14K Views
Napenda kuwashauri uongozi wa TV1 kuhusu kipindi kimoja anachowekaa vichekesho huyu mtangazaji wenu Mc Pilipili(the clip). Mshaurini huyu kijana aandae vichekesho vyake mwenyewe ili kukiongezea...
6 Reactions
84 Replies
14K Views
Mwanadada mrembo wa sura na mvuto wa hali ya juu wa kimapenzi anayetikisa bongo nzima kwa uzuri ambaye anatoka kimapenzi na rapper Young Dar es Salaam au young d aitwae Tunda hatimaye aamua...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Msanii matonya katoa wimbo mpya unaoitwa Hakijaeleweka..Nyimbo hii imenibamba na imenikumbusha matonya wa vaileth imaka ilee!This is the pure bongo flavor and i love it!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya kufanya parody ya filamu maarufu ya Afrika Kusini, Sarafina, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi anarejea tena na parody ya filamu maarufu ya ‘The Gods Must Be Crazy.’ Omondi ameiita...
1 Reactions
73 Replies
17K Views
Wanabodi, Napenda vya Nyumbani sanaaa... Na Ningependa watu kama kina Pilipili wawe wanafanya vitu vya level Hizi.. Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu.. Hii ni...
11 Reactions
131 Replies
12K Views
Kwa Mara ya kwanza ndani ya Ardhi ya kwanza Tanzania, diamond na zari watatumbuiza pamoja hapa mjini songea kwenye sherehe za CCM kutimiza miaka 38. Update Diamond na zari wameshatua uwanja Wa...
1 Reactions
94 Replies
19K Views
Msanii wa siki nyingi wa vichekesho aliyejipatia umaarufu katika kundi la vituko show kwa style yake ya kuigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello "Masele" ameaga ukapela baada ya kufunga pingu za...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Atoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya. Ufufuo manyau nyau.
0 Reactions
96 Replies
23K Views
Eti kalipwa Milioni 90! Hivi nyie Milioni 90 mnaijua au mnaropoka tu? Kwanza jamaa kaimba CD Playback na pili nimetoka kuongea na mtu wa Tigo ndani kabisa hamna kitu kama hicho hawawezi...
2 Reactions
74 Replies
13K Views
Kichwa cha habari chahusika... Poleni sana wafiwa... Source. Dailypost.ng
0 Reactions
38 Replies
9K Views
MALOVEE? Bosi wa Top Band, Khaleed Mohamed ‘TID’ au ‘Mzee Mnyama’ na mtoto mzuri kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho THT’, wanadaiwa kuwa na uhusiano uliotafsiriwa...
1 Reactions
55 Replies
17K Views
Diamond Platnumz-most searched personality Across Africa. He is one of the biggest selling Tanzaniaian artistes of all time and one of the biggest on continent. Visit: www.thenetng.com for...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Janet Jackson, 50, ajifungua mtoto mvulana Eissa Al Mana - BBC Swahili
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…