Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanariadha wa South Africa mwenye jinsia yenye utata, hatimaye amemwoa Msichana Violet Rasaboya, tukio hilo limeodoa utata wa kutokujua jinsia ya Semenya
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Despite once being Africa's number 6 and East Africa's number one singer, Jose Chameleone has been beaten by Eddy Kenzo who was recently ranked as number 5 among the top African Artistes of week...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Nimework hard katika kusikiliza interviewz na vipindi mbalimbali via tvshows, now nahitaji mchango wenu kujua ,which one is the best kati ya Wema Sepetu(in my shoes) na Vanessa mdee(the...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Takribani watu 15 wanashikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kumpora nyota wa vipindi vya televisheni, Kim Kardashian. Mwanadada huyo aliporwa vitu vyenye thamani ya takribani Shilingi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Majirani wa msanii Ali Kiba huko Tabata wamesema msanii huyo anaishi karibu nao lakini hawamuoni kwa kuwa kila akipita amefunga vioo tinted na wala hasalimii Wamesema wanahisi kuwa anajificha ndio...
3 Reactions
90 Replies
21K Views
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa...
0 Reactions
281 Replies
62K Views
Angalau Jina la Tanzania litatajwa mwaka huu kwenye michuano ya AFCON inayofanyika nchini Gabon. Msanii diamond atatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo, huku wenyeji Gabon...
12 Reactions
71 Replies
7K Views
Msanii wa k'ko King Kiba anaetarajia kufikisha miaka 40 hapo kesho amejibu kauli ya Icon wa Taifa, Mr Oxygen, Chibu Dangote. Simbaaaaa, Diamond Platinumz kuhusu pete ya kijani wiki iliopita...
5 Reactions
153 Replies
24K Views
Daaah aisee hawa watoto wawili Tunda na Selena wanafanana vitu vingi sana kuanzia style yao ya maisha, aina ya wapenzi waliokuwa nao hapo awali, tabia ya kupenda kula kula ,uvaaji ,sura, na vitu...
2 Reactions
100 Replies
15K Views
o.??8£!.. £÷@¥
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Kama kawaida mimi kama shabiki wa Vijana mahustler, wapambanaji nichukue nafasi hii adimu kumpa kongole kijana mwenzetu kwa hatua kadhaa anazopiga kiuchumi na kupitia muziki wake. - Naamini...
8 Reactions
92 Replies
18K Views
Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya kumuoa. Idris ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Mastaa wa kibongo wanastafia Madawa ya kulevya.
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Hatimaye Wissam al mana na mkewe janet jackson mwenye umri wa miaka 50 wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume Eissa al mana mnamo januari 03 mwaka 2017. Kwa janet jackson huyu ndio mtoto wake wa...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Msanii wa kitambo kunako gemu la bongo fleva anawashangaa sana wasanii wa kizazi hiki wanaotumia madawa ya kulevya na kuwaita wajinga na washamba sana Amesema wao ndio walitakiwa kutumia madawa ya...
8 Reactions
21 Replies
7K Views
Siku za karibuni kumezuka stories kuwa wabongo wameacha kupiga miziki ya kwao na kuwaiga wanaigeria. Mfano wa ngoma zinazotajwa kuiga ladha ya Nigeria ni kama Kokoro, Shikorobo, Mugacherere, na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kosa kubwa sana analofanya huyu producer anayeitwa Rioba ambaye alikuwa ni meneja wa Young D. Nimegundua ni kwa nini hawa watu hawakaki pamoja kikazi kwa muda mrefu na baada ya muda wanatibuana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…