Jamaa na nyimbo mbili za gospel nizijuazo mm ila zote kali hasa hii ya juzi la Christmas nahisi mkali gudluck Gosbert ajikaze sana na akaze mkanda
Walter hajawahi kukosea ni bahati tu hana....
Kuhusu Ommy Dimpoz,Alikiba na Mr Nice,yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond.
Times Fm imepata nafasi ya kufanya Exclusive interview na Sallam ambaye ni moja kati ya Mameneja wa Diamond...
Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.
Sasa Belle 9 ni kama...
Baada ya vuta nkuvute za hapa na pale about ishu ya young D kumkana mwanae.....the man aliomba radhi na kuelezea kilichotokea...Well kaamua rasmi kuprove kwamba amempokea mwanae na yuko nae poa...
Huyu ni mke wa zamani wa mfalme wa R n B, Robert Kelly aka R. Kelly.
Ni mdada mwenye umri si chini ya miaka 40 lakini she can give young ladies a run for their money when it comes to twerking...
Mtaarishaji wa muziki man water (walter?) amesema anamrudisha msanii 20% kwenye muziki na alikuwa amekwamwa kutokana na wao wawili kukumbwa na matatizo ya kifamilia, lakini wana nyimbo ambazo...
siku kadhaa zimepita tangu zisambae picha ya vanesa na treysong kuonekana wapo chumbani vanesa kamlalia treysong kimahaba kitandani nachojiuliza ni kiki au ni kweli treysong kapita nae vanesa...
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni...
Hivi karibuni wakati anahojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond alitease ujio wa ngoma ambazo amewashikirisha wanamuziki heavyweight wa Marekani, Rick Ross na Rihanna.
Jumatano hii...
Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa...
Leo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mike T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana.
Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli...
Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata,
Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia...
Huyu kijana ni talented sana pia anao moyo wakusaidia wenzake ndo maana kila analofanya linageuka kuwa lulu na kuigwa na wasanii wenzake,tangu aingie rasmi kwenye game ya bongo fleva 2009...
Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama...
Nimetembelea gazeti la Rai kusoma habari za nyumbani baada ya kukosa magazeti niyapendayo kwenye mtandao. Mimi si mpenzi wa gazeti la RAI kwa sababu baadhi waandishi wa gazeti hili hawapendi...
Huyu wa sasa,anatengeneza muziki ambao kama ungekuwa mchele basi ungekuwa ule wa plastic wa china,ama Thailand...unamezeka kwa taabu!Jaribu kurudi nyuma utakuwa juu sana!nimeona Duly amerudi...
Nimekuwa nikifuatilia sana hiki kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa kila Ijumaa ya wiki usiku na Sam Misago. Kumekuwa na interview za wasanii mbalimbali lakini nimegundua hiki kipindi ni...