Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya Diamond kufanya marejeo ya wimbo wa Salome wa Dada Saida kalori.Uongozi wa Diamond uliamua kumlipa meneja wa Saida kalori kiasi cha shilingi milioni 25 huku Dada Saida kalori akiambulia...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James aka PJ ameshtakiwa mahakamani na kituo cha redio cha EFM kwa kuvunja mkataba kinyemela Mtangazaji huyo aliondoka EFM mwanzoni mwa mwezi huu na kurejea kwenye...
16 Reactions
170 Replies
24K Views
Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata...
4 Reactions
80 Replies
12K Views
Jamani huyu dada alivuma sana lakini sijui nini kilimkuta na ghafla akapotea na naskia hayuko hata vizuri kiuchumi. Nashangaa kwasababu alipiga sana show kubwa lakini bado hakuwa sawa kiuchumi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Muimbaji huyo amedai hizo asilimia 25 za mapato za wimbo ‘Salome’ ambazo zilielezwa na viongozi wa WCB hazijui kwa kuwa hakuhusishwa kwenye hilo. “Tatizo limekuja kwa meneja wangu aliyempatia...
6 Reactions
104 Replies
17K Views
Habarini,kama habari inavyojieleza hapo juu,ndivyo ulivyokuwa huko Nigeria. Mara tu baada ya EMA kueleza kinagaubaga,vyombo vya habari vya burudani nchini Nigeria vimemwelezea Alikiba kama msanii...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba...
1 Reactions
63 Replies
23K Views
Hata kama unapenda kula pilau huwezi kuvua samaki kwa kuweka pilau kwenye ndoano. Hata siku moja usifikiri kwa vile wewe unapenda kitu flani basi watoto, ndugu na rafiki watakipenda. Sio vibaya...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Congratulations Emtee for grabbing 2 awards at this year's Grammy. .
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja...
9 Reactions
185 Replies
28K Views
1. Wema Sepetu 2. Agnes Masogange 3. Batuli 4. Irene Uwoya 5. Sinta 6. Kajala Au mnasemaje wadau wa mademu wakali! Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
0 Reactions
73 Replies
24K Views
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Moyo Mashine’ ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imewafanya wasanii wengi akiwemo yeye kushindwa kutimiza malengo yao ndani ya mwaka huu. “Plan...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza nakupongeza kwa kununua kifaa kimoja kimoja mpaka ukakamilisha bend, umeweza kumiliki bend yako mwenyewe yenye kila kitu. Umeanza kuperform live band ya bongo fleva yenye ubunifu Wasanii...
11 Reactions
41 Replies
6K Views
Leo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka...
5 Reactions
224 Replies
60K Views
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ? Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasnii nao wameanza kuonja joto la kinachoitwa 'kubana wapiga dili' na sasa wamezungumza Msanii Ben Pol amedai kwa sasa wasanii wengi mambo yamewabaidilikia na show walizokuwa wakitegemea watapata...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid Mashabiki hao...
10 Reactions
220 Replies
16K Views
kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi 1.macmuga 2.sindelera 3.hadithi 4.ile...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
wema vepee mbona kila mtu anapita, diamond, idris kapita na calisah kapita!
5 Reactions
54 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…