Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari, Naomba kujua nani anayefahamu historia fupi kuhusu mtangazi wa zamani Clouds, BBC na kwa sasa Azam, Abdul mohamed anatokea mkoa gani? Mwenye uelewa please
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu mnakumbuka tukio la Kiba kuzimikiwa na mic kwenye tamasha la Mombasarocks? Akihojiwa na kipindi cha Mseto Citizen na mzaz Willy Tuva, Kiba alidai kuzimika kwa mic yaweza kuwa ni figisu za...
2 Reactions
306 Replies
40K Views
Habari wakuu... Huyu kijana nimekuwa nikiona watu wengi wakimdiss lakini sasa naamini baada ya kutokwa povu na kummind Stan Bakora kisa kucreate cover video ya wimbo wake na kujipaka masizi usoni...
1 Reactions
67 Replies
22K Views
Baada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za...
3 Reactions
104 Replies
17K Views
Muigizaji na mchekeshaji kwenye tasnia ya Bongo Movie, Tausi, amesema hana mahusiano yeyote nje ya kazi na Hemed PHD huku akisema huwa wanakutana kambini na hana hata namba ya simu ya msanii huyo...
3 Reactions
55 Replies
11K Views
Tanzanian artiste Ali Kiba found himself swimming in murky waters when he appeared late for his performance at the Mombasa Rocks Festival held at the Mombasa Golf Club last Saturday. The event...
2 Reactions
102 Replies
17K Views
Ule usemi wa kwenye miti hakuna wajenzi nimeliona leo kwa kweli huyu msanii anahitaji Management. Anajisikia sana anategemea mashabiki sana anasahau hata mitume walisalitiwa na watu "Eti sallam...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
Nyimbo ya diamond platnumz kidogo imechaguliwa kuwania tuzo za africa entertainment legend awards (AELA ) Awards nnchi Nigeria katika kipengele cha best collabo Nyimbo hiyo aliwashirikisha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello, look what a beautiful app that I found here: New Videoder Reference - Android Apps on Google Play
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea. Wikiendi hii mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa muda mrefu Lil Kim zaidi ya dola 9,000(zaidi ya milioni 18 za kitanzania...yaani...
6 Reactions
66 Replies
8K Views
Rais wa Mbeya hatimaye amewapa go ahead vijana wa mawingu baada ya kumuomba Sana wafanye fiesta kwenye nchi yake, Habari zinasema mtu wa kwanza kuonana na rais huyo alikuwa ni general manager WA...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Msanii Raymond amesema nyimbo ya Salome aliyofanya na Diamond imempa umaarufu maradufu na sasa anapigiwa simu kutoka sehemu mbalimbali duniani akiombwa afanye kolabo. Amesema amepigiwa simu...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
  • Closed
1.Kama sikosei Kanzu ni Vazi linalotumiwa na saana na dini ya Kiislamu,japo hata wakristo hutumia lakini si kwa kiwango kikubwa. Nikizungumzia Upande wa Dini yako yaani "Muslim" Vazi hilo kidogo...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Kanye West alinukuliwa akisema kua tukio la kuvamiwa kwa mkewe lilimfanya awe "helpless" na akasema atafanya kila liwezekanalo kuilinda familia yake(ofkoz pesa anayo) Hivyo basi kwa kushirikiana...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Wanamuziki Alikiba na Wizkid walitunishiana misuli juu ya nani aimbe kabla ya mwenzake kwenye show ya Mombasa Alikiba alikataa kuimba kwanza kwa madai kuwa yeye ni mwanamuziki mkubwa Kenya...
5 Reactions
55 Replies
12K Views
MARLAW mzee wa pii pii ameachia website ya ukweli sana ambayo sijawahi kuona toka kwa msanii yoyote hapa bongo mwenye website kali na ya ukweli kama hiyo. muziki unasikika clear sana, na...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Classic for sure.
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…