Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na...
9 Reactions
73 Replies
8K Views
Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimekaa nikiwaza yani msanii akigombana na clouds kwanini inakua ngumu sana kusimama tena kimuziki? angalia Jay dee karudi na ndindindi katamba kidogo tu kaja na ngoma yake mpya jiiiiiii imebuma...
9 Reactions
47 Replies
9K Views
Hatimaye Tecno wamezindua Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zinaleta mapinduzi ya Teknolojia Kampuni inayoongoza kwa mauzo ya simu Afrika, Tecno Mobile imezindua simu mbili matata za Phantom 6...
5 Reactions
47 Replies
8K Views
Msanii Snura Mushi amesema neno chura sio kama linavyotafsiriwa sasa hivi ambapo watu wanamaanisha ni makalio ya mwanamke, amesema chura linamaanisha mwanamke anayetangatanga kubadilisha wanaume...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
“Kwa mfano, ninaweza nikawa misingi yangu ya kazi inaniambia baada ya show inabidi niingie kwenye gari niwahi hoteli. Shabiki anataka nishuke, nipige picha, aniombe namba ya simu,” Ray alimweleza...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkali wa masauti Christian Bella alikuwa mmoja kati ya wasanii ambao walialikwa na...
8 Reactions
73 Replies
13K Views
Enjoy your lunch
1 Reactions
1 Replies
608 Views
Nikirejea historia za haya mabifu mi naona kama zinawasaidia. Hebu tuangalie kidogo: Nasma kidogo na Khadija Kopa jinsi walivyojaza kumbi mashabiki, Banza Stone akiwa TOT na Ally Choki akiwa...
0 Reactions
6 Replies
954 Views
Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani kubwa na kujipiga picha kwenye mitandao ya kijamii? Kwa nini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
..Akihojiwa katika kipindi cha D'weekend chatshow Diamond Platnumz amesema kuwa watanzania wampigie kura Ali Kiba ili tuzo ije nyumbani na sio kusema kuwa mimi ni shabiki wa Diamond hivyo simpigii...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Diamond Platnumz ameweka video yake akiwa na zari chumbani wakifanya mambo, kwenye video hiyo Diamond anaonekana akiwa kitandani amemlalia na akimng'ata Zari chuchu huku Zari akiwa kimya
1 Reactions
20 Replies
15K Views
Diamond amedai kuwa idadi kubwa ya watu, hususan kutoka Tanzania ilikuwa ikipiga simu kwa wakala aliyekuwa akihusika na mauzo ya nyumba aliyonunua Afrika Kusini kutaka kujua kama ameinunua kweli...
27 Reactions
43 Replies
7K Views
Mimi ni mmoja wa shabiki mkubwa sana wa bizzybabylon baisa (mr.blue),kuanzia flow na uandish wake,lakin hivi karibuni amekua na mtindo wa kurudia baadh ya mashair katika wimbo zaidi ya mmoja. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwigizaji Wastara aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar. Kabla ya ndoa hiyo Wastara alikuwa kwenye...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Tuzo za BET hip hop awards zimefanyika Atlanta’s Cobb Energy Performing Arts Centre, Host wa show alikuwa Dj Khaled, Waliofanikiwa kuondoka na tuzo ni: Best Hip-Hop Video: Drake, "Hotline Bling"...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
10.BERNARD HOPKINS - 84 BILLION TSH. 9. MARVIN HAGLER - 94 BILLION TSH. 8. MOHAMMED ALI - 105 BILLION TSH. 7. VITALI KLITSCHKO- 136 BILLION TSH 6.SUGAR RAY LEONARD - 252 BILLION TSH 5. LENNOX...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kweli siasa sasa haina mwenyewe. Kanumba naye anataka kuwa mbunge.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
"Wema anataka saa ya almasi...Zari anajari Muda,"
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya...
14 Reactions
83 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…