Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji. Gari hilo alilonunua mchezaji huyo ni Benz Cla220 Cdi AMG Sport...
11 Reactions
109 Replies
15K Views
ANAWACHOKOZA BASATA KWA STYLE ZA MAUNO!
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii. Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Kim Kardashian anadaiwa kuvamiwa na watu wanaohisiwa kuwa ni majambazi waliokuwa na silaha huku wakiwa wamevaa sare za polisi na sura zao wakiwa wamezificha wakati akiwa hotelini huko mjini Paris...
1 Reactions
61 Replies
13K Views
Wadau kama kichwa kinavyoonesha hapo juu kutokana na kipaji cha huyu bwana Mdogo mbeleni kuna uwezekano Wa kuwafunika WCB wote ikiwemo Boss wao diamond. Hivyo anaweza kuondolewa chamani ili...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Licha ya mastaa wengi wa kike wa filamu nchini kubebwa na make up na madawa mbali mbali ya kuongeza mvuto, kuna baadhi ya mastaa wachache ambao wamekuwa waking'ara na kuvutia na mionekano yao ya...
0 Reactions
72 Replies
50K Views
Kijana ambaye pamoja na usomi wake na uwezo mkubwa wakuchambua mambo ya uchumi ameshaimba vibao vingi ambavyo kwa asilimia kubwa vinaamasisha vijana kufanya kazi na kuacha kuajiliwa leo hii yeye...
17 Reactions
147 Replies
20K Views
Kumekucha, Mwanzo wanamuziki wabongo fleva na bongo muvi ilionyesha ni Mojawapo ya kazi za kujikimu. Ila kwa sasa naomba serikali iwabane walipe kodi haswa kwa wasanii waliopata mafanikio ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mziki wa bongo fleva umeendelea kutamba na kung'aaa ukanda huu wa africa mashariki na kati baada ya kuwa na wasanii wengi kwenye nominations kuliko nchi za kenya na uganda. Hawa ni wasanii wa...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Baada ya kuzagaa picha na video tata kati ya vanessa mdee na msanii trey songz kutoka marekani imebainika ni kiki tu Vanesa mdee na mpenzi wake jux hivi karibuni wanatarajia kuachia collabo yao...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga. Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba...
6 Reactions
60 Replies
11K Views
Tuweni wakweli wadau, Hivi siku ukisikia Diamond Platinumz kaacha mziki au kafa (siombei itokee) utajiskiaje? Na vipi kuhusu muziki wetu wa Tanzania kwa ujumla unahisi kuna mtu anaweza akausogeza...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Moja ya couple maarufu na iliyokuwa inapendwa duniani yavunjika rasmi Machungu ya talaka Angelina jolie na Brad pitt. Baada ya angelina jolie kusign karatasi za talaka siku ya jana.. Brad pitt...
3 Reactions
173 Replies
17K Views
Leo October 2 ndo siku aliozaliwa Naseeb Abdul Juma ukipenda muite Diamond Platinumz huyu ndo icon wa mziki wa Tanzania na ni moja ya watu aliofanya mziki wetu sasa ivi unapigwa kwny channel za...
8 Reactions
70 Replies
12K Views
Nimeamini collable ni kitu kizuri sana maana bila kolabo na mwaka huu tusingemsikia kiba kwenye tuzo za MTV mama..... Mashabiki tuachani kuzipuuzia collable coz zinasaidia msanii kukua na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
WCB wanazidi kung'ara kila kukicha , hatimaye Rayvan naye atajwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 kwenye kipengele cha best breakthrough act
8 Reactions
43 Replies
10K Views
Abdu Kiba anashtumiwa kumpa mimba mwanafunzi, mwanafunzi huyo anadai walikutana Instagram, kisha akampa namba yake ya simu wakawa wanachat WhatsApp ndipo walipoendelea kuwasiliana hadi kukutana na...
0 Reactions
70 Replies
13K Views
MSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie afariki dunia kwa kujinyonga katika gesti moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI JUNIOUR ilioko maeneo ya Kisosora huko mkoani Tanga. Hapo pichani ni mwili...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…