Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wana jamvi salaam, Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajivunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako pande zote za ulimwengu. Diamond adui yako mkubwa...
9 Reactions
47 Replies
7K Views
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
Baada ya Diva kudai kuwa hamfahamu Ruby, Ruby akasema anamuona Diva kama mtoto hivyo basi hawezi kubishana na mtoto "Naona ni ujinga, i dont want to talk about it ,everybody knows me, so nahisi...
7 Reactions
126 Replies
23K Views
Staa wa filamu, Aunt Ezekiel aliye katika mapenzi na Dansa Moses Iyobo, ameamua kukimbilia gym kwa ajili ya kupunguza unene unaomuandama ili kulinusuru penzi lake. Akizungumza na chanzo cha...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
hawa jamaa wameamua kuanza kuonyesha movie(maigizo) yao kwenye tv then ndo dvd mtaani.kwenye comments JB anadanganya eti watu wa Tv(SIBUKA)wamesharudisha gharama za movie kwa kuwalipa..kwendraaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanamama mzazi mwenza wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi Sugu atangaza kutafuta mwanaume ili ampe ujauzito na hatimaye apate mtoto wa kiume kwa kuwa ana nguvu za kutosha za kulea Haya sasa kazi...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi ambaye ukimpa topic hawezi kukosa cha kuchangia, jana alishangwaza na baadhi ya wanafunzi kufeli mitihani yao huku wengine wakichora makatuni kwenye mitihani yao...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzanian actress Wema Sepetu has vowed to take her countryman Diamond Platnumz to court over unpaid dues after an artiste signed with Diamond’s WCB Records featured her in a music video without...
2 Reactions
69 Replies
8K Views
Bwana mdogo Sheta Shetani au ukipenda muite babaa Kayla siyo mtu wa mchezo mchezo hata kidogo amedhihirisha hayo kwa kumshika makalio Snura mbele za watu huko Tanga walikoenda kwa ajili ya Show ya...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Huku tukiwa kila siku tunawahimiza Vijana kuwa mnapopata bahati ya kuanzisha Mahusiano na hawa Mabinti " Mastaa " wa Kibongo basi hakikisheni " mnawabandua " ipasavyo ili kuleta Heshima huwa...
20 Reactions
182 Replies
25K Views
Wakat akiendelea kuomba msamaha akajibiwa ...."Acha mimi masikini na wanangu tutaishi vizuri katika nyumba ya kupanga, wewe tajiri ishi na wanao ktk nyumba ya kununua na mwenzio." Diamond if he...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo Mgombea urais tajiri wa Chama Cha Republican, Donald Trump akiwa nna mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata (kulia) na...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
HAYA SASA TUSUBIRIE HIZO CLIPS ZA HIYO VIDEO PHONE SEX,JAMANI HIZI PERUVIAN HAIR ZITAFANYA WATU HATA WALE VINYESI#Salome
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Nasema hivyo maana vitu anavyofanya diamond mtanzania ni ngumu kufanya ni maneno kidogo vitendo vingi, mfano Kanunua nyumba S.A na Tabata ,hakutoa ahadi ila ni vitendo kafanya ila upande wa KING...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Hebu nielewesheni nani mwenye umri mkubwa zaidi
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Mwigizaji mwenye manjonjo ya kipekee Chinedu Akedieze au kwa jina maarufu Aki ameonesha mapenzi ya hali ya juu kwa kuusifia wimbo wa diamond platinum uitwao Salome Aki kupitia akaunti yake ya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani najifunza kufungua nyuzi...samahanini wadau...ila mi siyo wa darisalama.
0 Reactions
3 Replies
926 Views
baada msanii kala jelemay kuachia kazi mpya nilitegemea mapokezi kutokana ujumbe mkubwa kwa jamii na kwa mashabiki lakini imekuwa kinyume chake watu wameipuuza haijafany vizur vile ambavyo...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimeusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa mwanadada Ruby baada ya kujitoa katika matamasha ya Fiesta. Wimbo unaitwa Wale Wale, mwadada kama kawa kaimba poa sana wimbo unamelody kali...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…