Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo...
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.
Source: Tecnico Informatico
Ukienda kule DSTV (Jua Kali) utawakuta familia ya kina Mwaipopo [emoji23] ambao ni Gabo, Eliudi, Mwaipopo, Uncle Lusajo na Chichi & Mama Gabo, familia yenye kila aina ya vituko.
Hawa jamaa ni...
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama...
Movies za Idris Elba
Bastille Day
Sean Briar
Finding Dory
Fluke
Voice role
100 Streets
Max
Star Trek Beyond
Krall / Balthazar Edison
2017
The Dark Tower
Roland Deschain...
A man accused of being Diddy's 'drug mule' was arrested trying to board at the same time the rapper's mansion was raided by police.
Brendan Paul, 25, was arrested by Miami-Dade Police, alongside...
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.
Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.
=======
Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri...
Alianza kuimba tangu akiwa shule wakati anasoma sekondani ndipo akajiunga na Tanzania House of Talents (THT) ila alitoka kimuziki chini ya M Lab (Music Laboratory) na sasa ni miongoni mwa waimbaji...
Nakumbuka kipindi fulani(2002-2004), kulitokea mgomo pale UDSM.
Bwana Bahati aliyekuwa mwanafunzi wakati ule alitajwa na speaker bungeni kwamba alikuwa kinara wa vurugu hizo.
Kulingana na namna...
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana...
Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania.
Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90...
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile..
Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
Mitandao ya Kijamii na watu mbalimbali zikiwepo Asasi za Kijamii zimemshika pabaya kama siyo kumchakaza kwa comments mtangazaji Gardner baada ya kutoa kauli isiyo na chembe ya utu uzima...
Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi...
Nimeitoa huko twitter,
Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti.
Bila kupoteza muda ni...
Inadaiwa kuwa msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa akina dada, Binti machozi, Komando, Anaconda, Lady Jaydee amefunga ndoa weekend hii.
upitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha...
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion...
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.
Si upendo wa kiuchafuchafu...